Ivi scale ya TGS D ya mwaka 2015 ni sh ngapi?
Kwa mtu aliyesoma Degree ya Economics na akaajiriwa kuwa AFISA TARAFA.
Atakuwa anachukua Mshahara kiasi gani?
 
You need good GPA minimum 3.8
These are academic posts. Most of us, hatupendi kufundisha kwa sababu ni kipaji pia.
Kaka watu tuna zaidi ya hiyo mbaali kabisa tena Uhandisi na hiyo kazi tunaitaka.Changamoto ni who know you (kwa Tanzania utasubiri sana kama hakuna anayekujua)
 
Hivi ni kweli Hazina wanalipana hizi salary kuna dada nimeskia anasema analamba 2.5M kwa level ya shahada na ana miezi kama mi 3 tu kazini.
 
Wanabaraza naomba mnitoe tongo tongo TGS D (Tanzania Gov. Scale D) ni shilingi ngapi kwa sasa? Nataka kuachia tawi Private Sector niende huko lakini sijui kukoje...

==============
July 2014 UPDATE:
Wanabaraza naomba mnitoe tongo tongo TGS D (Tanzania Gov. Scale D) ni shilingi ngapi kwa sasa? Nataka kuachia tawi Private Sector niende huko lakini sijui kukoje...

==============
July 2014 UPDATE:
Sawa tunashkuru kwa kutufumbua macho
 
115 Reactions
Reply
Back
Top Bottom