Hiyo post unayotaka kuomba hapa TPA zote 16 tayari zina watu.
Pole dada yangu
Haha nani kakwmbia ni 16 naona unakariri sana maisha endelea kukariri kwanza post syo 16 tu alafu...watu wengi nowajuwa ni wa hali ya chini sana wapo kwenye mataasisi nyeti kwa hyo ww endelea kukariri maisha na kujirudisha nyuma siko kma ww mxeeew
 
Usilolijua bibie ofisi ina uhitaji wa operation officers 16. Sita tayari washachukua kimya kimya.
Kumi waliotangazwa ni bosheni tu mama yangu, vimemo vishafanya kazi, TPA ni maskani
 
Una uhakika naongelea opetations officer? Usijifanie mjuaji sana kzi syo za operation officer tu! Alafu nimeuliza kuhusu mshahara sijauliza ulete mdomo wko isiyo na maana kwngu! Nrudia kusema ww endelea kujirudisha nyuma mwenzngu ss hatuko kma ww wengi wameajiriwa kikawaida tunaona na tutaendelea kuona! Na sihtaji comment zako za kijinga niliuliza swal waweza jibu huwezi bsi ifunge mdomo wko sijaomba ushauri wala nn kwko mjinga ww
 
Haha nani kakwmbia ni 16 naona unakariri sana maisha endelea kukariri kwanza post syo 16 tu alafu...watu wengi nowajuwa ni wa hali ya chini sana wapo kwenye mataasisi nyeti kwa hyo ww endelea kukariri maisha na kujirudisha nyuma siko kma ww mxeeew
Kwa uandish huu unakwenda kuwa personal secretary
 
Kwa wale wajuvi,kuna taasisi hawataji scale zao mfano VETA,wanaandika attractive remunerations as per institutional scale ..

Kuna Usalama huko kweli? 😆😆😆😆 Nina ndugu yuko private sector kama Technician wa contractor sasa ameniuliza VETA wanalipwaje kwa FTC/Diploma ya kufundisha?
 
Back
Top Bottom