Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)


Z. Z. Rumisha

Z. Z. Rumisha

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2012
Messages
648
Likes
533
Points
180
Z. Z. Rumisha

Z. Z. Rumisha

JF-Expert Member
Joined Nov 29, 2012
648 533 180
Kumbe package nzuri nzuri,ndiyo maana Bila GodFather utazisikia tuu hizo posts hata kama Vigezo unavyo.
You need good GPA minimum 3.8
These are academic posts. Most of us, hatupendi kufundisha kwa sababu ni kipaji pia.
 
KINGSLEE

KINGSLEE

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2013
Messages
456
Likes
317
Points
80
Age
32
KINGSLEE

KINGSLEE

JF-Expert Member
Joined Aug 30, 2013
456 317 80
Ivi scale ya TGS D ya mwaka 2015 ni sh ngapi?
Kwa mtu aliyesoma Degree ya Economics na akaajiriwa kuwa AFISA TARAFA.
Atakuwa anachukua Mshahara kiasi gani?
 
Mkwala

Mkwala

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2014
Messages
785
Likes
614
Points
180
Age
29
Mkwala

Mkwala

JF-Expert Member
Joined Sep 30, 2014
785 614 180
You need good GPA minimum 3.8
These are academic posts. Most of us, hatupendi kufundisha kwa sababu ni kipaji pia.
Kaka watu tuna zaidi ya hiyo mbaali kabisa tena Uhandisi na hiyo kazi tunaitaka.Changamoto ni who know you (kwa Tanzania utasubiri sana kama hakuna anayekujua)
 
M

Mwemary

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2016
Messages
267
Likes
234
Points
60
M

Mwemary

JF-Expert Member
Joined May 25, 2016
267 234 60
Hebu nisaidie na hii nijue ni sh ngapi?!
Salary Scale OSHA-Scale 6.1
 
tuusan

tuusan

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2016
Messages
8,830
Likes
6,210
Points
280
Age
28
tuusan

tuusan

JF-Expert Member
Joined Jun 30, 2016
8,830 6,210 280
Mediocrist

Mediocrist

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2015
Messages
1,635
Likes
614
Points
280
Mediocrist

Mediocrist

JF-Expert Member
Joined Jan 27, 2015
1,635 614 280
Hivi ni kweli Hazina wanalipana hizi salary kuna dada nimeskia anasema analamba 2.5M kwa level ya shahada na ana miezi kama mi 3 tu kazini.
 
Lee Cho in

Lee Cho in

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2015
Messages
863
Likes
450
Points
80
Lee Cho in

Lee Cho in

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2015
863 450 80
Msaada jamani mwenye kujua PGSS 2 NA PGSS 6 ni kiasi gani naomba anisaidie
 
The real Daniel

The real Daniel

Member
Joined
Jan 5, 2017
Messages
93
Likes
60
Points
25
Age
25
The real Daniel

The real Daniel

Member
Joined Jan 5, 2017
93 60 25
Msaada tafadhari
Ningependa kujua makato katika mshahara wa
Tutorial assistant na wa Assistant rectuler kwa vyuo vya serikali na take home inabaki kiasi gani kwa anayeanza.
 
J

Julius Jaji

Member
Joined
Feb 16, 2015
Messages
11
Likes
0
Points
3
Age
23
J

Julius Jaji

Member
Joined Feb 16, 2015
11 0 3
Wanabaraza naomba mnitoe tongo tongo TGS D (Tanzania Gov. Scale D) ni shilingi ngapi kwa sasa? Nataka kuachia tawi Private Sector niende huko lakini sijui kukoje...

==============
July 2014 UPDATE:
Wanabaraza naomba mnitoe tongo tongo TGS D (Tanzania Gov. Scale D) ni shilingi ngapi kwa sasa? Nataka kuachia tawi Private Sector niende huko lakini sijui kukoje...

==============
July 2014 UPDATE:
Sawa tunashkuru kwa kutufumbua macho
 

Forum statistics

Threads 1,262,364
Members 485,562
Posts 30,121,239