Kwangu Mimi na nipendavyo ajira ya kunipa constant rate na kuninyima uhuru sipendagi kabisa... Mshahara chini ya 1m hapana Bora niendelee kujiajiri siku nipate hiyo, au zaidi au chini kidogo ila huru.. Na Sina tarehe maalumu ya kupata pesa, inawezekana Mara moja, mbili, tatu kwa mwezi
 
Back
Top Bottom