Unataka kujua mishahara ya watu ili iweje?TGTS H ni sh ngap?
Unataka kujua mishahara ya watu ili iweje?TGTS H ni sh ngap?
Mil.2.5TGTS H ni sh ngap?
Nyauba nadhani yuko sahihi, hijafikia laki 3 kwa kweli!!!
Duh una nondo. Vipi viwango vya walimu was vyuo vikuu na taasis nyj gine za elimu kama chuo cha takwimu. Mipango nk?Wanabaraza naomba mnitoe tongo tongo TGS D (Tanzania Gov. Scale D) ni shilingi ngapi kwa sasa? Nataka kuachia tawi Private Sector niende huko lakini sijui kukoje...
==============
July 2014 UPDATE:
PGSS3 ni 588000 kwa sasaTGS 3 inakimbilia ngapi
Rudi kijijini uuze mboga mbogamishahara ya gavamenti ni midogo hivi?
sasa ukiwa dar utaishije?