Kachumbi
Member
- Aug 26, 2014
- 70
- 30
Kuna sehemu ambazo serikali inahuska moja kwa moja,kama kwenye mitaro,mtaani kwetu butimba mwanza,viongoz wala ata wajali sehemu hizo,kila mwisho wa mwez tunatangaziwa kufanya usafi ktk maeneo yetu,na kama wewe ni mfanyabiashara unafanya eneo la duka lako au ofsi,hapa ni mtaro ambao upo mbele ya kanisa,nani anahuska kusafsha !!!!????