Ngawaiya ajitosa kuwania uenyekiti K’njaro | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ngawaiya ajitosa kuwania uenyekiti K’njaro

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by sir.JAPHET, Aug 29, 2012.

 1. sir.JAPHET

  sir.JAPHET JF-Expert Member

  #1
  Aug 29, 2012
  Joined: May 18, 2012
  Messages: 700
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  [h=2][/h] Jumatano, Agosti 29, 2012 05:59 Na Fadhili Athumani, Moshi

  MWENYEKITI wa Jumuiya ya Wazazi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kilimanjaro, Thomas Ngawaiya, amechukua fomu ya kugombea nafasi ya uenyekiti wa chama hicho mkoani humo.

  Akizungumza na MTANZANIA mjini hapa jana baada ya kurejesha fomu, alisema ameamua kujitosa katika kinyang’anyiro hicho kwa ajili ya kupata fursa ya kuwawakilisha wana Kilimanjaro katika shughuli za chama, baada ya kufanya vizuri akiwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi.

  Alisema maombi ya wananchi pamoja na uzoefu alionao katika kipindi chote alichokitumikia chama katika ngazi tofauti za kiuongozi vimemfanya ajiamini kwamba anaweza kukitumikia chama hicho endapo atachaguliwa.

  Alisema kugombea nafasi hiyo si pambo, bali ni ari ya kutaka kukitumikia chama, huku akiainisha kipaumbele chake kuwa ni kuondoa makundi ndani na kurudisha imani ya wanachama waliohamia upinzani.

  “Malengo yangu ni mengi, ila kipaumbele cha kugombea nafasi ni kiu ya kutaka kuvunja makundi yaliyoko ndani ya chama kwa ajili ya kurudisha imani ya wanachama wote waliohamia upinzani,” alisema Ngawaiya.

  Jumla ya wagombea wanane wameshajitokeza kugombea nafasi hiyo, akiwamo kada maarufu wa CCM mkoani Kilimanjaro, Mchungaji Elisa Mrutu.

  [h=4]Toa Maoni yako kwa habari hii[/h]
   
 2. bluetooth

  bluetooth JF-Expert Member

  #2
  Aug 29, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 3,933
  Likes Received: 670
  Trophy Points: 280
  This old man is a complete failure
   
 3. TzPride

  TzPride JF-Expert Member

  #3
  Aug 29, 2012
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 2,420
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  mganga njaa
   
 4. n

  ndomyana JF-Expert Member

  #4
  Aug 29, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 4,731
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Atangaika sana
   
 5. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #5
  Sep 4, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  [h=2][/h]JUMATANO, AGOSTI 29, 2012 05:59 NA FADHILI ATHUMANI, MOSHI

  MWENYEKITI wa Jumuiya ya Wazazi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kilimanjaro, Thomas Ngawaiya, amechukua fomu ya kugombea nafasi ya uenyekiti wa chama hicho mkoani humo.

  Akizungumza na MTANZANIA mjini hapa jana baada ya kurejesha fomu, alisema ameamua kujitosa katika kinyang’anyiro hicho kwa ajili ya kupata fursa ya kuwawakilisha wana Kilimanjaro katika shughuli za chama, baada ya kufanya vizuri akiwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi.

  Alisema maombi ya wananchi pamoja na uzoefu alionao katika kipindi chote alichokitumikia chama katika ngazi tofauti za kiuongozi vimemfanya ajiamini kwamba anaweza kukitumikia chama hicho endapo atachaguliwa.

  Alisema kugombea nafasi hiyo si pambo, bali ni ari ya kutaka kukitumikia chama, huku akiainisha kipaumbele chake kuwa ni kuondoa makundi ndani na kurudisha imani ya wanachama waliohamia upinzani.

  “Malengo yangu ni mengi, ila kipaumbele cha kugombea nafasi ni kiu ya kutaka kuvunja makundi yaliyoko ndani ya chama kwa ajili ya kurudisha imani ya wanachama wote waliohamia upinzani,” alisema Ngawaiya.

  Jumla ya wagombea wanane wameshajitokeza kugombea nafasi hiyo, akiwamo kada maarufu wa CCM mkoani Kilimanjaro, Mchungaji Elisa Mrutu.

 6. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #6
  Sep 4, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Kinachoniudhi ni CCM bado ni ZIZI LA VYURA yaani bado kulindana huyu NGAWAIYA na KARABOU na yule jamaa wa Kigoma

  alikuwa CHADEMA sasa ni Mkuu wa Wilaya wangeachwa nje na CCM kuchagua VIJANA wapya hii ingeondoa ULAJI, ULAFI na

  UCHAKACHUAJI WIZI wa MALI ya Wananchi Lakini Angalia ni hao hao Ngawaiya... Sasa anachukua Uwenyekiti wa Mkoa; CCM

  Kilimajaro naona haina mtu mwingine...
   
 7. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #7
  Sep 4, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  na wasiwasi sana na huyu baba jimmy kwa hiyo post anayoitaka maana uchelewi kusikia kahamia upinzani baada ya kutoswa..
   
 8. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #8
  Sep 4, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Unaniua na hio kauli yako... nimeipenda!!!
   
 9. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #9
  Sep 4, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Wale wanaotoka ccm kuhamia upinzani ni oil chafu, sijui hawa waliotoka upinzani kuhamia ccm ni oil safi!? Najiuliza tu!
   
 10. M

  Makupa JF-Expert Member

  #10
  Sep 4, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Ngawaiya simpendi kabisa kwa kuwa huyu alikuwa Tlp na inaaminika kuwa bado ana kadi ya uanachama ya Tlp, chonde chonde ccm mwangalieni huyu jamaa
   
 11. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #11
  Sep 4, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Mwambieni huyo Ngawaiya aje aondoe lile ghorofa lake pale argentina tunataka kupitisha barabara ya mabasi yaendayo kasi ili dar iwe nzuri
   
 12. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #12
  Sep 4, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,294
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  Ngawaiya? Alishapoteza nuru loooong time ago!
   
Loading...