Ngassa alikataa dili la bilioni 1.6 El Merreikh

1.5 bln,jamaa kaongezea chumvi tu,el merreikh hawana hela kwa mchezaji wa kibongo,kwa mujibu wa huyo mwandishi el merreikh baada ya kushindwa kumpata ngasa ikabidi wamchukue ndiku,ndiku kwa sasa yuko azam hapo anasugua benchi,angefanya kutafuta muda akamuulize kama kule sudan alilipwa pesa hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
ndikumana si alishafariki? au?......

btw hio 1.6b amejumlisha mishahara miaka 4, plus signing fee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ilitokea kwa Sekilojo Chambua. Yeye mwenyewe anasema alipokuwa Yanga yeye na Nonda Shabani Papii walitakiwa na klabu ya Moroka swallows ya bondeni lkn Yanga walikataa na anasema Yanga iliwaahidi donge nono. Anasema tabia ya sisi wabongo wengi kutokuwa na passport na kubweteka tukifika simba na Yanga anavijutia Sana. Nonda shabani alikuwa na passport yake akakwea pipa akitoroka pale jangwani na hatimaye kupata mkataba na timu hiyo ya South Africa. Nonda hatimaye akawa Star Ulaya.
Huyo Sekilojo Chambua ndio yule jamaa aliekuwa anatoa story zake Clouds Fm kwenye kile kipindi cha njia panda mkuu?!...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Too late alisahau mpira ni ajira ya muda mfupi sana
habari hii niliifuatilia sana kipindi hicho nipo vimbweta vya coet napiga rb....... machozi yalinitoka sn nilipokua nasoma hizi habari........

edo kumwembe na shaff dauda walipiga sn kelele facebook kuhusu upuuzi huu wa ngasa......

maisha kwakweli ni funzo kubwa

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio na alipelekwa trial WEST HAM na wakala wake- Boss wa Azam Fc - Yusuf Bakhresa! Sa kule ktk performance report ilionekana NGASSA kuna maeneo anatakiwa kwanza afanye improvement kabla ya kurudi tena!

Waliporudi Tanzania, NGASSA akaliamsha dude! Kwanza akaongeza mke na kisha akalazimisha uhamisho kwenda Yanga! Kuna picha humu ya Ngassa akivaa jezi ya YANGA juu ya Jezi ya AZAM FC! YANGA wamavisha na rozari ya kijani kabisa! Yusuf akaona isiwe tabu! Sikio la kufa...
Ngassa huyu si alitakiwaga hadi na west ham united au

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bongo kuna wanaume wana gene za kike, wana ile nataka sitaki.

Ukimtongoza/Ukizungumza na msichana kwa nia ya kumtaka kimapenzi na labda hata kumuoa, Atakwambia nina boyfriend, mara hili na lile. Huwa ahawaangalii how serious the issue might be, wao hukataa tu. wanataka umbembelezeeee wee , eti ukifanya hivyo ndio unampenda.

Huyo naye ukiangali story hiyo, ilikuwa ni the same situation.

Sasa mwanaume unafichwaje? kwani ukipatikana ukasikiliza kasha uka kataa au ukatafuta wataalamu wakautizama mkataba wako, na ukaamua kama mwanaume.

Eti mwananume unafichwa kama demu vile, hahaha.
Alifichwa kama mwali vile..Poor Ngassa..acha azeeke na njaa zake..unless kuna sababu nyingine ambayo ambayo hatuijui,huu utakuwa ni ujinga kabisa
 
Back
Top Bottom