Ngara, Kagera: Mkutano wa hadhara wa Rais Magufuli na Rais Nkurunziza wa Burundi

Kuna usemi mmoja wa Waingereza unasema hivi: "Tell me your friends and I will tell you who you are"

Marafiki wa mzee wetu ni hawa: Nkurunzinza, Kagame, Museven, Kabila.
Up to there I think you are in a good position of telling who is our Mzee.
 
"Tell me your friends and I will tell you who you are"
Yaani, nitajie au niambie rafiki zako nitakwambia wewe ni mtu wa aina gani.
 
Napendekeza Rwanda na burundi zibadilishe katiba na zipelleke miswada bungeni na waitishe kura za maoni za kuomba nchi hizo ziungane na tanzania kuwa nchi moja tuwe na nchi moja ambayo itajulikana kama Tanzarwabu ikijumuisha tanganyika zanzibar rwanda na burundi.Nina uhakika kura za.maoni zikipigwa wananchi wataridhia bila shida.Rwanda na Burundi ni kama.watanzania tu na.Tanzania inaninfluence kubwa kwenye nchi.hizo kuliko kwingine.pia faida za kiuchumi na kisiasa ni kubwa mno
 
Nimesikia leo radioni kwamba katiba ya Uganda ipo kwenye mchakato wa kubadilishwa ili kumruhusu Museveni kutawala hadi kifo. Wapambe wa Museveni wamekazania hoja hiyo ipite haraka. Yale yale ya hoja ya Mwinyi. Kumbe kuna michakato ya chinichini ya hawa marafiki kucheza na katiba. Tumegundua janja yao.
 
Mubashara mubasharani, rais wa Tanzania dr John Magufuli anaunguruma kutoka Ngara - Bukoba ambapo anazindua ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami kutoka ngara hadi rusaunga yenye urefu wa kilometa zaidi ya 163 kwa lengo la kuiunganisha Tanzania nzima kwa kiwango cha lami. Rais Nkurunzinza wa Burundi amehudhuria halfa hii. wanazungumzia pia suala la mashirikiano ya kibiashara kati ya nchi hizi mbili. fuatilia hapa
 
Mkuu Kihava
Nchi Za Afrika Masharika Kwasasa Zimeingia Kwenye Ombwe La Kulilia Madaraka Yaani Hadi Kifo
 
Yeye tu anapenda kuonekana Live....

Lakini Bunge kalipiga Stop kuonekana Live.

Yeye tu anataka kufanya mikutano ya kisiasa

Wakifanya wenzake wa vyama vya siasa vya upinzani, analiagiza Jeshi 'lake' la Polisi kuwakamata viongozi wake na kuwaweka ndani kwa masaa 48.
 
Back
Top Bottom