Ngao ya Zanzibar nzuri kuliko ya Tanzania

B40

JF-Expert Member
Dec 4, 2016
820
536
Kwa kweli ngao hii ni ya kiubunifu sana mfano shoka linaonyesha jinsi kila mzanzibar afanye kazi

Pia panga ni alama ya ulinzi Wa taifa

Hongera sana mtu aliyebuni ngao hii
7b7292a7e46fdb54bf0945ba5365b4a4.jpg
 
Zanzibar ni nchi
 
  • Thanks
Reactions: B40
MMMH ETI NZURI MBONA INAFANANA NA NEMBO YA SHULE,KWANZA NIKUULIZE YULE MZEE ALIEICHORA BADO YUPO???
 
  • Thanks
Reactions: B40
Ubunifu mwengine wa ajab saana. Halaf watu wanausifia tu, Visiwa vyetu vimekaa kihivyo kweli?? Jamani, pa kukosoa kosoeni bila hofu. Hebu waturekebishie visiwa vyetu vilivyo, Kubwa na ndogo wala hawalingani pia hawaangaliani kihivyo. Visiwa vyetu vinavutana pale nungwi
 
"Tukiwa humu ndani, Zanzbar ni nchi, lakini tukiwa kule nje, Zanzibar ni sehemu ya Tanzania" KIKWETE.

Hili ni fumbo la imani.
 
Hongera sana mtu aliyebuni ngao hii
Naheshimu mawazo yako lakini ukisema kuliko ya Tanzania unakosea.
Tukitaka tulazimishe matakwa na mahaba tutakesha humu.
Kwangu mie hiyo alama ya panga na shoka ni takwambia kwamba hiyo nchi ni ya kupigana mapanga na mashoka tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom