Ng....we pita sina mkuki...{nitakao wakwaza samahani}

NAPITA

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
5,076
2,243
KITU HICHO.jpeg
Hii kitu Tamu sana
 
Mifugo ya Mpwa wangu CYBERTEQ kule kijijini kwake......nikipata nauli ntakuja
 
Last edited by a moderator:
kuna watu naita haramu huku wanakula ngamia wakati ni mnyama wa kwanza kuharamishwa na nguruwe ni wa tatu. Nawashauri wasome vizuri vitabu vitakatifu
 
Nimependa macho yake, anarembua kama akina nanihii fulani wa JF
 
...mdudu ni mtamu sana huyu loh,ngoja nifanye mpango nikamle umenikumbusha mkuu asante....
 
kuna watu naita haramu huku wanakula ngamia wakati ni mnyama wa kwanza kuharamishwa na nguruwe ni wa tatu. Nawashauri wasome vizuri vitabu vitakatifu

fuatilia vzuri habari za yohana mbatizaji na hata mawaz yake ,hlf kunatetesi kuwa nguruwe wanaingia period
 
aisee kwa kino maeneo gani mkuu? mi nalijua chimbo la pale manyanya kama unaenda american chips hivi

Kuna lingine pale pale manyanya kwa Chini kama unaenda kambagwa SEC hatari sana anapenda sana kuwepo yule Dada yetu wa Bongo move aliewahi kuwa miss...!!!
 
Kuna lingine pale pale manyanya kwa Chini kama unaenda kambagwa SEC hatari sana anapenda sana kuwepo yule Dada yetu wa Bongo move aliewahi kuwa miss...!!!
nimepasoma pale mkuu, daah nshapata mizuka ya kwenda kuibatua leo mkuu!
 
nimepasoma pale mkuu, daah nshapata mizuka ya kwenda kuibatua leo mkuu!

Karibu sana mkuu mi nitakuwa pale mida ya 12 jioni nikisubili foleni ipungue pungue na hii hali ya hewa ikiendelea hivi mpaka mida hiyo itakuwa burudani zaidi ya burudani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom