View attachment 529591 Utalii Tanzania unakuwa kwa kasi ya 10G Neyma Huyo Tanzania.
loh inabid wawe watalii gaflaNaona sasa ni wakati wa kudanga Mbugani.
Maana madanga yamehamia ngorongoro,Serengeti mikumi
kwakweli ,maana madanga yamehamia mbuganiloh inabid wawe watalii gafla
Yaani sisi ndio huwa hatuendi tembelea mbuga za wanyama mtu anatoka Ulaya kote huko
haaa haha pesa ziko huko HARMORAPA ANAZIITA MADORALIINaona sasa ni wakati wa kudanga Mbugani.
Maana madanga yamehamia ngorongoro,Serengeti mikumi
Hahaaa aisee aibu iliyoje maze...waswahili kujisifia na neymar kumbe yupo kwa mugabe!, ni fedheha kubwa kwa taifa la waswahili, wengi wao wanasema et bulawayo ni mji apo uswazzGo home you're drunk. Kama Zimbabwe imekuwa Danganyika pia utatuambia.
PICTURE: Barcelona star Neymar in Zimbabwe
Role modo wa harmonizehaaa haha pesa ziko huko HARMORAPA ANAZIITA MADORALII
Aibu kubwa sana. Saa ii wanapita kimya kimya.Hahaaa aisee aibu iliyoje maze...waswahili kujisifia na neymar kumbe yupo kwa mugabe!, ni fedheha kubwa kwa taifa la waswahili, wengi wao wanasema et bulawayo ni mji apo uswazz