Neymar mchezaji kutoka Brazil kaja kutalii Tanzania

mulisaaa

JF-Expert Member
Jun 16, 2017
6,958
6,989
downloadfile-4.png
Utalii Tanzania unakuwa kwa kasi ya 10G Neyma Huyo Tanzania.
 
Hahaaa aisee aibu iliyoje maze...waswahili kujisifia na neymar kumbe yupo kwa mugabe!, ni fedheha kubwa kwa taifa la waswahili, wengi wao wanasema et bulawayo ni mji apo uswazz
Aibu kubwa sana. Saa ii wanapita kimya kimya.
 
Back
Top Bottom