Neymar afungiwa mechi tatu kwa kuwatusi Waamuzi baada ya timu yake kutolewa UEFA na Man Utd

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Shirikisho la Soka Barani Ulaya(UEFA) limemfungia mshambuliaji huyo wa Paris Saint-Germain baada ya kuandika maneno ya dharau na kejeli kufuatia timu yake kutolewa na Manchester United katika mchezo wa Klabu Bingwa Ulaya

Mbrazili huyo, aliweka bandiko katika ukurasa wake wa mtandao wa Kijamii wa Instagram lenye kuonesha hasira baada ya Man. Utd kupata penati ndani ya dakika nne za nyongeza wakati shuti lililopigwa na Diogo Dalot lilipomgonga Presnel Kimpembe mkononi

Marcus Rashford alitumia nafasi hiyo aliyopewa na Muamuzi Damir Skomina alliyetoa penati hiyo baada ga kujishauri kutumia mfumo wa uamuzi wa runinga(VAR), kufunga goli na kufanya Manchester United kifuzu kucheza hatua ya robo fainali

Neyma aliandika "Hii ni aibu, wameweka watu wanne wasiojua chochote kuhusu soka kutoa maamuzi baada ya kuangalia marudio ya tukio kupitia VAR. Hakukua na penati. Panawezaje kuwa na penati wakati mpira umempiga mgogoni!" Kisha akatuna
IMG_20190426_202820.jpeg
skysports-neymar-psg_4484974.jpeg
 
Acha akipate alichokuwa anakitaka....

Isitoshe amedanganya ameumia ili akashuhudie tu birthday ya sistaake!!! 😂😂😂 Huo ni umama kabisa...
 
Shirikisho la Soka Barani Ulaya(UEFA) limemfungia mshambuliaji huyo wa Paris Saint-Germain baada ya kuandika maneno ya dharau na kejeli kufuatia timu yake kutolewa na Manchester United katika mchezo wa Klabu Bingwa Ulaya

Mbrazili huyo, aliweka bandiko katika ukurasa wake wa mtandao wa Kijamii wa Instagram lenye kuonesha hasira baada ya Man. Utd kupata penati ndani ya dakika nne za nyongeza wakati shuti lililopigwa na Diogo Dalot lilipomgonga Presnel Kimpembe mkononi

Marcus Rashford alitumia nafasi hiyo aliyopewa na Muamuzi Damir Skomina alliyetoa penati hiyo baada ga kujishauri kutumia mfumo wa uamuzi wa runinga(VAR), kufunga goli na kufanya Manchester United kifuzu kucheza hatua ya robo fainali

Neyma aliandika "Hii ni aibu, wameweka watu wanne wasiojua chochote kuhusu soka kutoa maamuzi baada ya kuangalia marudio ya tukio kupitia VAR. Hakukua na penati. Panawezaje kuwa na penati wakati mpira umempiga mgogoni!" Kisha akatunaView attachment 1082014View attachment 1082015

Uhensam wake unamfanya mpaka awadharau waamuzi 😄😄
 
Kipaji anacho ila ulimwengu hautamkumbuka km legend wa soka baada ya kustaafu kwake, anakipaji kikubwa ila kashindwa kujiweka matawi ya babu pele, maradona, eusebio, Cruyff, lothar, ronaldinho, de lima, cr7, messi, zizzou n.k n.k
 
Pia ameshafungiwa mechi tatu huko france baada ya kumpiga kibao mshabiki.

Huyu jamaa ni Shoga
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom