Ney wa Mitego: Nyimbo nitakayotoa itawaudhi wengi, siogopi mtu

yap ndivyo hivyo ilivyo, kila mtu ana akili yake kubwa ya kupata fedha,,, hapo jaribu kufuata mkumbo ufe...huyu jamaa hata kabila analotoka linambeba, anatoka kwenye kabila la wachapa kazi na wenye akili kubwa za kusaka noti... mcheki barnaba na ney wote wanatoka kabila moja pia ni miongoni mwa wasanii wenye pesa chafu na mali lukuki... **note**.. siyo lazima ujue njia mtu anazotumia kupata pesa, ukijua unaweza kumzibia riziki ndio maana inakua siri waafrika ni hatari na ndivyo tulivyo..
ney mjanja sana show zake anabase kwenye tuwilaya ambato wasanii hua hawaend mara kwa mara sasa assume kaenda wilaya 30 na kila wilaya kaingiza M3 anakua katengeneza m90
 
ney mjanja sana show zake anabase kwenye tuwilaya ambato wasanii hua hawaend mara kwa mara sasa assume kaenda wilaya 30 na kila wilaya kaingiza M3 anakua katengeneza m90
we umenena wilayani ndiko anapo patia hela wasanii wengine hawajajua tu kila siku wao wanang"ang"ana na show za dar ili hali makambako nako kunawatu wanahitaji burudani
 
hivi ni kabila gani Huyo kijana
Kabila linahusikaje na linamsaidiaje?
yap ndivyo hivyo ilivyo, kila mtu ana akili yake kubwa ya kupata fedha,,, hapo jaribu kufuata mkumbo ufe...huyu jamaa hata kabila analotoka linambeba, anatoka kwenye kabila la wachapa kazi na wenye akili kubwa za kusaka noti... mcheki barnaba na ney wote wanatoka kabila moja pia ni miongoni mwa wasanii wenye pesa chafu na mali lukuki... **note**.. siyo lazima ujue njia mtu anazotumia kupata pesa, ukijua unaweza kumzibia riziki ndio maana inakua siri waafrika ni hatari na ndivyo tulivyo..
 
Kabila linahusikaje na linamsaidiaje?
kila kabila lina asili yake, na mtu huweza kuwa identified kutokana na kabila lake i.e lafudhi, mwonekano, umbo, tabia,, japo siyo 100% perfect so katika kumchambua ney ndio inshu ya kabila ikaibuka kutokana na uwezo wake mkubwa wa kufanya music business, i think ule uwezo wa kabila lake kwenye business ndio kauhamishia kwenye music business, that why inajulikana dunia nzima ukabila na utaifa haukwepeki dunia nzima japo tunahimizwa kuepuka but asili ni asili tuu na haijifichi...
 
Huyu bwana Basata wanamsubiri kwa hamu akitoa tu ngoma ya mvurugano inapingwa ban.
 
Katika wasanii ambao naona gharama wanazozitumia ktk video zao na kile wanachokiingiza kutokana na muziki wao naona havilingani,basi huyu ni mmojawapo. Maana anatumia pesa nyingi sana na ana maisha makubwa mno kuliko kipato cha muziki wake.
nadhani unajua vyanzo vyake vyote vya mapato
 
ney mjanja sana show zake anabase kwenye tuwilaya ambato wasanii hua hawaend mara kwa mara sasa assume kaenda wilaya 30 na kila wilaya kaingiza M3 anakua katengeneza m90
si mseme tu ngada,mnazunguka nini,costa 50m,nyumba japo sizijui lakin kwa mlivozitaja tfanye za 60,kwa muzik gani wa ney wa kumpa hela hzo!
 
Uyu Nay atamfute Diamond wakae chini watengeneze joint nyingine akileta utani atapotea kama Faru John wabongo wakatili aiseeee wakiamua kukausha wanakausha kweli jamaa hajashtuka kua wadau wamegeuka tayari.
 
Back
Top Bottom