Ney wa Mitego Aanika mamilioni aliyoingiza kipindi cha Fiesta Mwaka huu..!!

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,054
6,281
Ney wa mitego amefunguka leo kupitia kipindi cha Amplifaya cha clouds fm kuwa amefanikiwa kuingiza kiasi cha mamilioni ya shilingi katika show za fiesta zinazoongozwa clouds, Ney wa mitego amesema hayo wakati huu wa kutimiza miaka 14 ya clouds fm alipokuwa akihojiwa. Ney "alisema Nimefanikiwa kuingiza zaidi ya milioni 24 za kitanzania katika msimu wa fiesta wa mwaka huu"
Ney-wa-Mitego.jpg
 
Nafikiri hicho kiasi alistahili kupata kwenye show 4 na sio unafanya show karibu 10 then unajisifia kupata 24m
 
pamoja na hivo ana haki ya kujipongeza. Mwalimu wa shule za Tanzania adi anastahafu awezi kuishika hiyo pesa kwa muda mfupi.

wakat yeye msela muuni muuni anaikamata hiyo pesa ndani ya mwez mmoja tu
 
Nafikiri hicho kiasi alistahili kupata kwenye show 4 na sio unafanya show karibu 10 then unajisifia kupata 24m

kaka....kutoka alipotoka anastahili kujisifia 24m....tuwe wakweli kwa mtanzania mwenye kazi ya kawaida itamchukua muda gani kupata 24m???lets say unapata 2m kwa mwezi....mwaka mzima ndio utapata 24m na usiitumie kufanya chochote...hivi kima cha chini bei gani tena??
 
Ney wa mitego amefunguka leo kupitia kipindi cha Amplifaya cha clouds fm kuwa amefanikiwa kuingiza kiasi cha mamilioni ya shilingi katika show za fiesta zinazoongozwa clouds, Ney wa mitego amesema hayo wakati huu wa kutimiza miaka 14 ya clouds fm alipokuwa akihojiwa. Ney "alisema Nimefanikiwa kuingiza zaidi ya milioni 24 za kitanzania katika msimu wa fiesta wa mwaka huu"
Ney-wa-Mitego.jpg

aaah kumbe....nilikutana nae show room anachagua ALTEZZA....
 
Ney wa mitego kapiga show zote za fiesta.
Piga mahesabu ya mikoa yote fiesta ilipo zunguka ndio utaju hiyo ni pesa ndogo au kubwa?
 
kaka....kutoka alipotoka anastahili kujisifia 24m....tuwe wakweli kwa mtanzania mwenye kazi ya kawaida itamchukua muda gani kupata 24m???lets say unapata 2m kwa mwezi....mwaka mzima ndio utapata 24m na usiitumie kufanya chochote...hivi kima cha chini bei gani tena??

Muziki wa bongo unalipa sana,ninawapongeza kwani kwa sasa wasanii wamekuwa wajanja sana wameacha yale mambo ya kunywa pombe na kufanya matanuzi ya kijinga na wapambe kibao.Nakumbuka enzi za kina Mangwair,Juma Nature,Prof J na wengineo walikuwa wanapata hela sana lakini inaishia kwenye matumizi yasiyoeleweka
 
Ney wa mitego kapiga show zote za fiesta.
Piga mahesabu ya mikoa yote fiesta ilipo zunguka ndio utaju hiyo ni pesa ndogo au kubwa?

Nafikiri FIESTA walizunguka karibia mikoa 15 but sina uhakika kama NEY alizunguka mikoa yote
 
lazima ujue fiesta wanakuwa wasanii wengi sana wanaopiga show na ata ukilipwa aulipwi kwa show moja moja bali kwa zote.hivo lazima ipungue,kama ulisoma business utakuwa umenielewa
 
Kuwa wasanii wengi sio issue,wasanii wanapaswa kuweka standard zao za kulipwa,haina maana ufanye show nyingi then ulipwe hela kidogo,angeweza kuhudhuria hata show 5 lakini akalipwa vizuri mfano Diamond ameweka standard ukimuita kwenye show ana kiwango ambacho lazima umlipe haijalishi utakuwa na wasanii wangapi.Mbona wasanii wa nje wanalipwa vizuri
 
wewe kila ukienda kazin unalipwa pesa ngap kwa kila masaa 2.

Ney pesa nyingi sana alilipwa kwenye show za Airtel
 
PHP:

Msanii analipwa kila anapofanya onyesho halipwi kwa mwezi otherwise kama mkataba wake unasema hivyo au yuko label inayomsimamia kazi zake ,mfanyakazi analipwa baada ya kufanya kazi mwezi mzima analipwa kwa masaa kama atakuwa na overtime

PHP:
Ney pesa nyingi sana alilipwa kwenye show za Airtel
Hapa at least umeanza kunielewa,i hope Airtel alipata hela nyingi sana kuliko hiyo aliyopata kwenye FIESTA

My point hiyo 24m na NEY alizunguka almost mikoa yote kwenye FIESTA ni hela ndogo,nimekupa mfano kuna wasanii wengine wameperform show chache za fiesta wakapata na show nyingine wakaingiza hela nyingi kuliko hiyo 24m
 
Back
Top Bottom