Uganda: Moto waua watoto 19 Bwenini

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,474
39,987
By GODFREY OLUKYA, Associated Press Writer
47 minutes ago

KAMPALA, Uganda - A fire tore through a primary school dormitory overnight, killing 19 girls and two adults. Police said Tuesday that the blaze may have been deliberately set.


Sobbing parents sifted through the ashes of the dormitory at the Buddo school, trying in vain to identify their daughters from charred piles of bones.

"Help me, oh God please help me!" Jacqueline Bakoba wailed as she lifted up part of the collapsed roof looking for her missing daughter, Betty.

Police Inspector General Kale Kaihura told reporters at the scene that interviews with teachers and survivors led him to believe the fire was started deliberately.

"Preliminary investigations are indicating that it was homicide," he said, but declined to give any more details.

Lydia Namusisi, 14, who sleeps in a nearby dormitory, said she was woken up by a loud bang. When the girls tumbled out of bed, they found the dormitory next door blazing.

School worker James Kiiza said the doors had been locked from the outside.

By the time firefighters reached the school, most of the dormitory had already burned down and part of the roof and inner walls had collapsed. The fire burned away almost all the mattresses and children's clothing and the intense heat warped the metal bed frames.

Teacher Frederick Bugmbe said there were 58 girls in the dormitory, some of whom managed to wriggle through narrow windows.

Hundreds of parents arrived at the school, which has around 1,000 students, to search for their children. The school is seven miles from the capital, Kampala.

Police said they were still searching the site for remains.

Sylvia Nakatte said she received a phone call to tell her that her 12-year-old daughter, Mary, had died.

"I rushed to the school but her body cannot be identified," she said, weeping and clawing at the sodden ashes.

My Take:

Nimeandika makala kwenye Tanzania Daima la kesho kuhusu "taifa lisilojiandaa kwa majanga.." Na katika makala hiyo nimekumbushia vifo vya watoto 41 kule Shauritanga mwaka 1994. Nasikitika kuwa nikiwa nafikiria mambo hayo ya nyumbani, ndugu zetu wa Uganda nao wanapata na msiba kama huu.

Tunawaombea faraja na kuwapa pole wafiwa wote.

M. M.
 
Rambirambi kwa wote!

Mkuu,hili sio la wa Uganda pekee yao,kuna watu tuna watoto wanasoma huku.
Kama hili halitotuhusu kabisa basi then hii ni nafasi nzuri kuanza ku-reconcider maamuzi yetu kuhusu watoto wetu huko.

I for one,najiapiza wakwangu harudi tena huko.

kama wameanza na shule hiyo maana yake wataendelea na kwengineko ni ubora wangu abakie maana kunawakati wa majuto, tutajiraumu na kutoweza kujisamehehe kwa maamuzi yetu ya kuwapeleka watoto wetu mbali na sisi kutegemea wengine watulele watoto wetu.

Ndio kama hivyo wanaishia kuwachoma moto, shime jamani tuanagalie maamuzi yetu na watoto.
Naelewa,kwamba hata hapa nchini yanaweza kutokea kama ilivyotekea kwa Shaulitanga,but atleast they died at their home land.
 
Mkuu,hili sio la wa Uganda pekee yao,kuna watu tuna watoto wanasoma huku.
Kama hili halitotuhusu kabisa basi then hii ni nafasi nzuri kuanza ku-reconcider maamuzi yetu kuhusu watoto wetu huko.

I for one,najiapiza wakwangu harudi tena huko.
kama wameanza na shule hiyo maana yake wataendelea na kwengineko ni ubora wangu abakie maana kunawakati wa majuto,tutajiraumu na kutoweza kujisamehehe kwa maamuzi yetu ya kuwapeleka watoto wetu mbali na sisi kutegemea wengine watulele watoto wetu.
Ndio kama hivyo wanaishia kuwachoma moto,shime jamani tuanagalie maamuzi yetu na watoto.
Naelewa,kwamba hata hapa nchini yanaweza kutokea kama ilivyotekea kwa Shaulitanga,but atleast they died at their home land.

Nd'o maana nilisema rambirambi kwa wote...akiwemo mganda,mbongo, mkenya na yeyote yule aliye na mtoto katika hio shule.Shukran.
 
Tatizo la wabongo wengi, tunafikiri kuwapeleka watoto wetu Uganda au Kenya, ndo elimu bora zaidi. mimi nimesoma na wenzangu hapa tz, nilipofika form four walipata division four, mimi nilipata one. lakini wao walipata post za kusoma Uganda kwasababu kwa kiwango hicho, wanakolifai kule. sielewe kiwango cha kule ni nini. mdogowangu alienda kusoma kule, alichorudi nacho ni kuongea kiingereza cha kiluganda lafudhi ya ajabuajabu, lakini kwenye infereces ni sifuri. wakenya ndo kabisaa, wanafika form four then university, ndo maana huwa hawakolifai kuingia vyuo vya tz kwasababu vyuo vyetu havipokei form four...waganda wapo wengi hapa kwasababu wanafika form six. wao wanachojua ni English, tena ya lafudhi ya kikuyu. Nawapa changamoto wabongo, msidharau nchi na elimu yenu. najua wengi hamjui English, ni kweli, mnajua kiswahili ambacho ni lugha vilevile. jipeni moyo, mtakuja kujua tu.
 
Back
Top Bottom