News Tip: Tani 5 za meno ya Tembo zanaswa maeneo ya Kimara, Dar!

Serikali inawanyima Ukawa nafas ya kufanya kazi

Wanasahau majukumu yao

Hayo meno ya tembo mbna cha mtoto
 
Wakuu,

Inaweza kuchukuliwa kama tip tu kwa sasa lakini ni kuwa mchana wa leo zimenaswa takribani tani 5 za meno ya Tembo maeneo ya Kimara jijini Dar.

Taarifa zaidi naamini zitatolewa na Vyombo vya Dola na naamini si muda mrefu kuanzia sasa.

Mjumbe hauawi
Hivi kuna mtu aliwahi kufungwa na mahakama za nchi hii kutokana na kesi kama hii ?
 
Back
Top Bottom