¥¥>>> News;<<<My wife(Arabela) aanza kula Udongo wa Pemba¥¥¥¥....Mshtuko.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

¥¥>>> News;<<<My wife(Arabela) aanza kula Udongo wa Pemba¥¥¥¥....Mshtuko..

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by zubedayo_mchuzi, Oct 5, 2012.

 1. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #1
  Oct 5, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Ni mwezi sasa nikiwa Lupango,Isanga jana nimerudi nimepgwa butwaa my wife ana kilambo cha udongo wa pemba,limao za kutosha.chini ya Meza kuna kifuu cha kutemea mate..

  Hiyo kitu sijui ni yangu au wajanja wamempa mzigo....

  Kwa hii kitu atajulikana tu muhusika.
  tonterias+ak47+de+oro+pistola.jpg a
   
 2. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #2
  Oct 5, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Hapo kwenye red ni problem! Embu check na Erickb52!
   
 3. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #3
  Oct 5, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Mdudu gani huyo..
   
 4. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #4
  Oct 5, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,252
  Likes Received: 19,383
  Trophy Points: 280
  Erick huyu aliyekamatwa na kuwekwa ndani na jimama hapa mwanza?
   
 5. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #5
  Oct 5, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Jf bana!
   
 6. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #6
  Oct 5, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,351
  Likes Received: 612
  Trophy Points: 280
  ...................Never boring!
   
 7. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #7
  Oct 5, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Ugonjwa mbaya sn huo., unaitwa schitosomiasis, mwahishe hospital aanze na kipimo kinaitwa ultra-sound, then kifuate kipimo kinachoitwa speculum.
   
 8. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #8
  Oct 5, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  huyo dogo akishajua tu mdada ana bwana humu, akili zinamruka. Ndio maana nikakwambia umcheki usikute alimrukia...
   
 9. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #9
  Oct 5, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Huyo huyo aliyetolewa sentro kwa dhamana jana usiku! Lol
   
 10. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #10
  Oct 5, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Usijali mkuu,unajua wana chit-chat ni ndugu,hatukutaka Arabela apate shida wakati uko lupango,hivyo kutokana na ukarimu wangu na MAPENZI MEMA kwako na kwa Arabela nilijikabidhi jukumu la kumlea katika shida na RAHA, I'm solely responsible for the changes you've observed.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #11
  Oct 5, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Umenishtua! Namejaribu kuunganisha maelezo yakidaktari na jina lako linavyoanza! Duh!? Usikute wewe ndio Dr manyaunyau!? Lol...
  Kwema lakini!?
   
 12. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #12
  Oct 5, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Duh? Umejisalimisha easly kama mtuhumiwa wa utekaji wa ulimboka! Na wewe ni mkenya au?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. measkron

  measkron JF-Expert Member

  #13
  Oct 5, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 3,713
  Likes Received: 365
  Trophy Points: 180
  Ha ha haaaa! PakaJimmy sio aanze na kipimo UPT kwanza?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #14
  Oct 5, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Nafikiri ocean road panafaa
   
 15. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #15
  Oct 5, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Unajitafutia matatizo eeeh.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #16
  Oct 5, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,129
  Likes Received: 4,994
  Trophy Points: 280
  Me nasubiri wooote mjimalize,halafu shosti ake n'tajimwaga uwanjani kuja kuyatoa yaliyo moyoni mwake.
  Maana niko nae hapa.
   
 17. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #17
  Oct 5, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  sitafuti matatizo mkuu, wanyakyusa wanasema TRUTH WILL SET YOU FREE!! pamoja saaana tuendelee kushirikiana na kushikiriana teh teh
   
 18. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #18
  Oct 5, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Unatafuta Nini....kama si Matatizo....kaa chonjo...moto wa Petrol haukumbatiwi..
   
 19. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #19
  Oct 5, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Wana science wanasema ukikaa karibu na mwanamke mjamzito,kwa muda mrefu yule mtoto wa ndani anabadilika na kufanana na aliekaribu yake...
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. measkron

  measkron JF-Expert Member

  #20
  Oct 5, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 3,713
  Likes Received: 365
  Trophy Points: 180
  Ha ha haaaa! zubedayo_mchuzi bana!! Yaani unasaka sababu ya mwanao kufanana na Baba V aliyesema alikuwa anakulindia ukiwa lupango tusiseme ni mwanae!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...