News Alert:...Wesley Snipes To Be Jailed! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

News Alert:...Wesley Snipes To Be Jailed!

Discussion in 'Entertainment' started by Steve Dii, Apr 25, 2008.

 1. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #1
  Apr 25, 2008
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Wesley Snipes has been given 3 years prison sentence for tax offenses:

  Source: http://news.yahoo.com/s/ap/20080424/ap_en_mo/snipes_tax_trial;_ylt=ArLenKXYri8Ebi0Z.cI50sFxFb8C

  SteveD.
   
 2. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #2
  Apr 25, 2008
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  He was sentenced to 3 years in federal prison for tax evasion today..on CNN

  Now he really can be UNDISPUTED
  [​IMG]
  [​IMG]
   
 3. Kuntakinte

  Kuntakinte JF-Expert Member

  #3
  Apr 25, 2008
  Joined: May 26, 2007
  Messages: 704
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hii ndio raha ya wenzetu wako makini na kila kitu. Sasa wewe fikiria mtu anakula mvua 3 kwa tax convictions. Tukigeuza pazia hembu twende pale Dar Bandarini, TRA etc watu kibao design za kina Wesley Snipes. Na nafikiri hata hizi issue za visenti zingekuwa huko mbona Moto ungewaka sema ninavyojua Bongo ahh mbona ndio imetoka hiyo tena na Msiba ndio umefunika kabisa.
   
 4. Richard

  Richard JF-Expert Member

  #4
  Apr 25, 2008
  Joined: Oct 23, 2006
  Messages: 8,253
  Likes Received: 4,275
  Trophy Points: 280
  Mkuu, jamaa bado hajawa imprisoned kwani jury ndio imemtia hatiani na kifungo chake ni miaka mitatu.

  Sasa tusubiri jaji atasemaje leo kama alipe faini, apunguze au ndio Wesley Snipes aende jela akakumbukie enzi zake za ile movie yake ya "Undisputed".

  Si unajua tena system za wenzetu zinafanza kazi.
   
 5. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #5
  Apr 25, 2008
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...Raha yao Black Celebrity wa-spend time behind bars! success ya mtu mweusi kwao ni mwiba kweli kweli! Jamaa hana hata past Criminal record, bado tu jamaa hawataki kumpa lenient sentence?
   
 6. Richard

  Richard JF-Expert Member

  #6
  Apr 25, 2008
  Joined: Oct 23, 2006
  Messages: 8,253
  Likes Received: 4,275
  Trophy Points: 280
  Tena yawezekana "jury" yenyewe kama kawaida yao imejaa wazungu tu!

  Na kwa kawaida wakiishafahamu kwamba kesi ni ya mtu mweusi, baaasi!
   
 7. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #7
  Apr 25, 2008
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,306
  Likes Received: 5,596
  Trophy Points: 280
  Poor Him....hana Jinsi Labda Rufaa Itaweza Kumsaidia..pole Zake
   
Loading...