News Alert: Waziri wa Awamu ya Nne Tapeli!

Yawezekana Waziri walionyesha mkono wa Birika kwa Hakimu- au hakimu alikataa kupotea chochote!

Hii ni hukumu- inatufundisha kuwa haki inawezekana tu tz kama tuna nia njema!
Kesi hii ilianza muda mrefu sana, kumekuwa na kukata rufaa kwa pande zote huko nyuma lakini hata mie nakuwa na wasiwasi kuwa huenda wakili safari hii amekula njama na mdai na kkumuangusha Mlalamikiwa , kwani huyo mdai mama Salimin ni smart wa kutupa kama kuna mwandishi hivi sasa yuko Dodoma basi amfuate Mheshimiwa Dr Gama mbunge wa Kibaha amuulize jinsi alivyoponea chupuchupu kulizwa gari na mama huyo
 
mkjj,
lakini kwa hali ya kawaida tu kwa kiongozi kutokuwa mwaminifu kwa jamii,ni doa tosha la yeye kujiweka pembeni ktk kutumikia wananchi na serikali kwa ujumla,hawa watu weupe hilo ni kosa kubwa sana kimaadili na mtu wa nama hiyo hafai kabisa kuwa kiongozi ktk jamii hinayo mzunguka.kwa kifupi hatufai,kesho hakichukua cha ummatutasema nini
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom