Bowbow
JF-Expert Member
- Oct 20, 2007
- 541
- 31
Wanabodi kuna hii habari nimeiona kwenye website ya watanzania waishio Denmark sijui kama kuna yeyote anafununu ya nini kilitokea soma hii habari
http://www.watanzania.dk/showtime/show.php?type=article&number=5
Watu waliojaribu kufuatilia PCCB wameumizwa wakati wakikwa kwenye ofisi ya mkurugenzi wa PCCB. Mtu wa kwanza kuumizwa alienda Jumanne tarehe 8/04/08 na akaanguka. Mtu wa pili alienda siku iliyofuata na yeye akaanguka vile vile. Imebainika kwamba yule wa kwanza amefariki dunia Jumapili tarehe 13/04/08. Wa pili yuko hoi. Wote hawakuweza kupata kufahamu kueleza yaliyowakuta wakati wako PCCB. Mkurugenzi aliyetakiwa kuhojiwa ndiye peke yake anayeelewa kilichowakumba. Je PCCB wamewaua hawa watu waliokuwa wazalendo? wanafikiri watawanyamazisha? Kila jambo lina mwisho
http://www.watanzania.dk/showtime/show.php?type=article&number=5