News Alert: Soko la Mtwara Mjini lawaka Moto

niwaellyester1

Senior Member
Sep 7, 2010
123
19
soko kuu la mjini mtwara hivi sasa linawaka moto na inaelezwa moto ni mkubwa sana, chanzo inaelezwa ni pasi ya mkaa... source radio one stereo
 
Poleni watu wa mtwara, waulizeni watu wa mbeya na moshi, matukio hayo ni ya kawaida kwao.
 
Poleni wahanga,Kikwete siyo chaguo la Watanzania na siyo chaguo la Mungu na haya hayatakoma Watanzania tumrudie Mungu wetu
 
kwakweli
poleni wana-mtwara na hali hii ngumu ya maisha!!
mtafika taratibu
 
Kazananeni mtafuteni mchawi,kwanza huko hatujui mpo upande gani wa harakati zetu kwahiyo hatujui tuwasaidieje....!!
 
Poleni wahanga,Kikwete siyo chaguo la Watanzania na siyo chaguo la Mungu na haya hayatakoma Watanzania tumrudie Mungu wetu
ndugu watz sasa mmezidi kumwandama raiswenu au kwakua sio dikteta kama che nkapa ambae alikua mkali na mlikua mnaihara serikaliyake?mjue uvumilivu unamwisho,yaaniuzembe wa dobi kuachapasi mnasingizia rais,wacheni upuuzi huo.
 
Japo simpendi wala kumsikia lakini hapa anaingiaje ?
hebu mwambie nawewe easymutant kilakitu kikwete kikwete,muacheni presidaa aongoze nchi sio kila mwenye kubanwa namavi akaharishe ktk uso wamkulu wa nchi,tupunguze chuki za hafidhina.
 
Poleni wana Mtwara, Soon Tambwe na kikundi chake watasema pasi hiyo ni ya MWANACHADEMA
 
Back
Top Bottom