News Alert : Saa 12:11 Mchana Uwanja Wa Ndege

Yona F. Maro

R I P
Nov 2, 2006
4,202
218
Kama Vile Walikuwa Wanaigiza Filamu Ya Kivita

Majambazi Wapatao 3 Walikuwa Ndani Ya Gari Lao Wakiwafuatilia Raia Wa Kigeni Waliokuwa Wanatoka Mjini Kuja Uwanja Wa Ndege Wa Mwalimu Nyerere .

Dereva Wa Gari La Wageni Alishituka Na Kuwapa Taarifa Polisi , Polisi Waliwapa Msaada Wa Escort Mpaka Walipofika Uwanja Wa Ndege Mpaka Walipofanikiwa Kuondoka

Kwa Hakika Lingekuwa Tukio La Aina Yake Hapa Uwanja Wa Ndege
 
Shy baadae ikawaje?
Polisi waliwakamata?? mwandishi alikuwa nyuma ya gari la majambazi?
 
Mimi ndio mwandishi nilikuwa airpot hata sasa hivi niko airport kama ulivyosoma hapo juu hawa wageni walipata escort tokatazara mpaka hapa airport

DEREVA WA TAXI HAKUWEZA KUCHUKUWA NAMBA ZA GARI LA HAO MAJAMBAZI
 
Back
Top Bottom