News Alert: Rais Kikwete atoa nishani kwa waandishi

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,474
39,987
Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Tanzania Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete leo ametoa nishani kwa waandishi wa habari mbalimbali ambao walifuatana na vikosi vya JWTZ kwenye Operesheni Demokrasia Komoro ambayo ilimng'oa Mohammed Bakari toka visiwa vya Anjouan ambako alikuwa amejitangazia serikali kinyume na serikali kuu ya shirikisho.

Nishani hizo zimevishwa kwa niaba ya Rais na Waziri wa Mambo ya Nje Bw. Bernard Membe ambaye alikuwa ni mmoja wa watetezi wa kubwa wa operesheni hiyo.

Mmoja wa waandishi waliopata tuzo hiyo ni Mroki Mroki ambaye ameweka picha na habari zaidi hapa MROKI MROKI BLOG
 
Waliovishwa nishani ni:

Assa Mwambene, Mwantanga Ame, Bernard Membe, Faraja Kihongole na Khalfan Said. katikati toka kushoto: Victor Gunze, Manyerere Jackton, Stanley Ganzel na Sudi Mnete. John Mapinduzi, Joseph Damas na Mroki Mroki.

wanatoka vyombo gani jamani tusaidiane< father kdevu tu ndio amejielezea anatoka wapi
 
...................................................Manyerere Jackton
 
Back
Top Bottom