News Alert: Mengi awafungulia mashtaka waandishi! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

News Alert: Mengi awafungulia mashtaka waandishi!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mzee Mwanakijiji, Mar 13, 2009.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  Mar 13, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Mengi files eight defamation suits against 13 journalists

  2009-03-13 11:31:10
  By Bilham Kimati


  IPP Executive Chairman Reginald Mengi has filed eight defamation lawsuits at the High Court in Dar es Salaam against thirteen practitioners representing different media houses that published stories with malicious intention.

  Addressing the media in Dar es Salaam yesterday, Michael Ngalo of Ngalo and Company Advocates, who also represents the IPP Chairman in the lawsuits said the unknown motives behind the slanderous publication against his client would be judged in the court of law.

  He said the lawsuits had been filed in the High Court on March 11, this year, and the next step after appraisal by the Judge In-Charge would be allocation of the cases to judges.

  ``My client demands an apology, denial of the malicious publications against him and cost of damages of 1bn/- for each lawsuit filed,`` Ngalo added.

  Reading a statement that entailed the names of the journalists, who are lined up to face justice, Ngalo said since December last year, some local newspapers had been persistently attacking his client through publications of stories with ill-intentions against his personal life, family and business.

  Part of the statement reads: ``The attacks started as the drive or war to expose those involved in public embezzlement (Mafisadi) gained momentum. The harassment has reached intolerable level.

  For example, among the misleading publications mentioned about the economic hardships endured by Mengi`s sisters back home in Kilimanjaro Region, while the reality is that his sisters died nearly ten years ago,``

  ``Another lie published against my client,`` said Ngalo, ``was about production and supply by the IPP Group of companies of an assortment of cosmetics banned in East Africa on health grounds, the kind of business that Mengi has never laid his hand on. Again they lied on the cause of death of his son. This is painful, unacceptable and enough is enough we have decided to take the matter to court``.

  The lawyer said there had been some underground attempts by some newspapers to publish stories full of lies with the aim to offend his client, family and disrepute his business operations.

  ``This has to be stopped. To start with, IPP Executive Chairman filed the lawsuits to the High Court seeking legal measures against the media houses and those involved in the fabrication and publication of stories,`` said part of the statement.

  However, the lawyer said his client had a clear message to those inclined to frustrate government efforts and all people in support of the war against embezzlement of public funds.

  ``The fight was unrelenting and victory was certain. It is important for all suspects to realise that the general public is already badly affected socially and economically by the acts of those who have lost public trust (Mafisadi), and will continue to stand against them, and any irrational attack against Mengi and his media outlets would not weaken them,`` concluded the statement.

  He named the journalists to be taken to court as Bollen Ngetti, Christopher Buke, Albert Kahogo, Zahaq Rashid and Anthony Maono.

  Others are Hemed Adam Kimwaga, Charles Mhando, Charles Charles and Julius Mapunda. Others more are Selehe Alli, Prince Bagenda, Salum Mnete and Eric Anthony.


  My Take:
  Nadhani atakuwa amesikia ukosoaji wa JF na watu wengi hapa kwamba badala ya kulalamika kuwa anaandamwa aende mahakamani. Hii ni kinyume na matishio yaliyotolewa na wale wengine waliodai kuwa wanaonewa. So, sasa mahakama itabidi iamue.
   
 2. Mag3

  Mag3 JF-Expert Member

  #2
  Mar 13, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 9,094
  Likes Received: 6,188
  Trophy Points: 280
  Sijui kama atawaunganisha na wale waliokuwa wakimkandia kutoka JF - labda wataitwa kama mashahidi kesi itakapoanza !!
   
 3. M

  Mkodoleaji JF-Expert Member

  #3
  Mar 13, 2009
  Joined: Apr 27, 2008
  Messages: 454
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwi kwi kwi kwi naona ameona attention imepotea maana watu walikuwa kwenye Dowans na Idris wakahamia kwenye kichapo cha Mwinyi yeye wakamsahau kama yupo. Kweli Mengi ni mtu wa Mengi
   
 4. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #4
  Mar 13, 2009
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  isije ikawa kuwa huko mahakamani yakafumuka mengi zaidi, pamoja na yale ambayo hawakuyaandika
   
 5. Kuhani

  Kuhani JF-Expert Member

  #5
  Mar 13, 2009
  Joined: Apr 2, 2008
  Messages: 2,945
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Hivi ni kwa nini kesi za ku publish udaku zinaenda high court of Tanzania halafu makesi ya mabilioni ya Mawaziri, makesi yanayohusu kuhujumu uchumi wetu sote, yanaenda kwa mahakimu wakazi ambao wanavurunda vurunda mara wanatoa bail based on expired documentation mara wanapandisha na kushusha recognizance amount ovyo ovyo mara wanamwachia mtu kesho yake wanamtafuta?

  Hizi kesi za fulani kanikandia kwenye tabloid lake mi nadhani ndo zingeenda kule kwa mahakimu wa uchochoroni wasiojua wanachokifanya.
   
 6. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #6
  Mar 13, 2009
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,606
  Likes Received: 3,908
  Trophy Points: 280
  Duh, yetu macho,

  Lakini kwa nini waandishi wanafikia hatua hii?? kama Mengi anafanyiwa hivi ni wangapi basi wana suffer the same problems. Ofcourse sijatoa hukumu kwa waandishi, lakini I believe there publications should not have any doubts nearby.

  Kukiwa na loop la mtu kama Mengi kufungua mashtaka, maana yake ameona possibility ya kuwashinda kumbuka nae ana waandishi wa habari! nasisitiza kusiwepo na doubt yeyote ya source zao za habari,

  Katika kesi hii usishangae kuwa source ilitoka kwa mtu mmoja (let say Kimwaga) halafu wengine wakadesa!
   
 7. J

  Jamco_Za JF-Expert Member

  #7
  Mar 13, 2009
  Joined: Jul 14, 2007
  Messages: 1,315
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Nafikiri that is the right decision kwani huko mahakamani tutajua nani muongo na nani mkweli, na inawezekana tukapata mengi zaidi maana mafisadi wako vitani kujaribu kumfanya hawe busy kujitetea wakati wao wanajipanga upya kula pesa ya watanzania kupitia mitambo ya DOWANS
   
 8. B

  Baija Bolobi JF-Expert Member

  #8
  Mar 13, 2009
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 931
  Likes Received: 697
  Trophy Points: 180


  We Kuhani siku ukiletwa kwangu ndipo utajua hata sisi wa uchochoroni tunajua mambo!
   
 9. Kuhani

  Kuhani JF-Expert Member

  #9
  Mar 13, 2009
  Joined: Apr 2, 2008
  Messages: 2,945
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Mnajua mambo mmeshindwa kucheki kama passport ya Liyumba iko current bana?

  Mngekuwa mnajua mambo mngekuwa mnaongoza kwa kupokea vibahasha?

  Mpaka jaji Kiongozi Jundu amehofia wazi wazi kwamba hizi kesi kubwa kubwa hamziwezi bana!
   
 10. B

  Baija Bolobi JF-Expert Member

  #10
  Mar 13, 2009
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 931
  Likes Received: 697
  Trophy Points: 180
  Zote na yote hayo tumeshindwa, lakini haitatushinda Kuhani. Laiti ungejua kuwa huku uchochoroni ndipo bongo za mahakama zipo zimelala na kufanya kazi. Kwa taarifa yako, ruling za maana huwa tunaandika sisi na kuwapa kaka zako kina Jundu ili wasome.
   
 11. Kuhani

  Kuhani JF-Expert Member

  #11
  Mar 13, 2009
  Joined: Apr 2, 2008
  Messages: 2,945
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Kwa hiyo jaji wa Mahakama Kuu analetewa kesi halafu anakupa wewe hakimu uandike ruling? Hiyo ingekuwa the biggest fraud in the history of organized jurisprudence!

  Tukisema kesi fulani ina subject matter jurisdiction ya Mahakama Kuu halafu behind the scenes ukaletewa wewe basi hiyo ruling utakayoandika ni fyongo, illegal!

  Kwanza siamini jaji wa mahakama kuu akuletee wewe hakimu uandike hukumu halafu atie saini yake pale.

  Umedhihirisha wewe na majaji wako ni fraudsters au unawasingizia, mwongo!
   
 12. G

  Gozigumu JF-Expert Member

  #12
  Mar 13, 2009
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 254
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jee bwana Wakili na zile picha za kubarizi Bwana Mengi zitakuwa kielelezo cha mdai au wadaiwa?
   
 13. Nkamangi

  Nkamangi JF-Expert Member

  #13
  Mar 13, 2009
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 642
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kumbe sio kweli kwamba uzee huja na busara? Ya nini kulumbana na waandishi saa hizi tena?
   
 14. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #14
  Mar 13, 2009
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Hivi hayo magazeti ya Mengi yanaandika ukweli mtupu ? Maana kama watu wakianza kuyakagua magazeti yake basi ajue na yeye itabidi aukubali mkondo.
   
 15. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #15
  Mar 13, 2009
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Naye mpelekeni mahakamani. Hivi Masha kaishia wapi na siku zake 7?
   
 16. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #16
  Mar 13, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  hapa nashangaa.. alipozungumza na waandishi wa habari tu watu wakasema kwanini asiende mahakamani, kawasikiliza kaenda mahakamani wengine wanashangaa kwanini ameenda mahakamani! Inanikumbusha ule wimbo wa "ooh jamani, binadamu hatosheki, hata ukimpa nini, milele hatorudhika ah!"..
   
 17. Y

  Yassin JF-Expert Member

  #17
  Mar 14, 2009
  Joined: Jul 23, 2008
  Messages: 326
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Namuunga mkono kufanya hivyo maana sasa hivi ukikaa na kuwaangalia watakuweka uchi hivi hivi.Bongo sasa hivi sijui inakwenda wapi??
   
 18. MpigaFilimbi

  MpigaFilimbi JF-Expert Member

  #18
  Mar 14, 2009
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,171
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 133
  Inavyoonyesha yanaandika ukweli, kama kuna mtu kakashifiwa angeenda kutafuta haki yake mahakamani, kama hawakwenda, wamepima uzito! Ndio maana yeye katangulia. Nadhani yupo tayari kwa hilo, why do u doubt him?
   
 19. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #19
  Mar 14, 2009
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  Huyu naye, yeye vyombo vyake vya habari vikisemea watu ovyo hakuna shida anachekelea tu yy akirudiwa kidogo inakuwa kelele, baba mengi we, mkuki kwa nguruwe tu............!
   
 20. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #20
  Mar 14, 2009
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  tena umenikumbusha sku zile magazeti yake yakiwapaka matope wale jamaa wa kisiwa cha pili,kwa kuwaita magaidi, kumbuka vichwa vya habari vilivyokuwa vikisema " Mpe.....ashitakiwa kwa ugaidi Marekani", wakati jamaa ni mtz
   
Loading...