Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,216
- 113,510
Anaitwa Mzee Chilinjuku
kalamu n lile kibuyu cha jangwani kilikuwa zaidi sio .,in that context..
Phil:
Nilikuwa nimekisahau hicho babu kubwa cha Jangwani.
Yule bwana aliyemdondosha pale jukwaani MZA, ilikuwa ni vibuyu vilivyogongana; kibuyu kilichoshindwa kikadondoka chini.
Sijui yule bwana aliishia wapi; bado yumo lupango ama aliachiwa?
Wao wangekubali tu, kuwa kibuyu chake kilikuwa zaidi ya hicho chao wakubwa.