Lwakatare Afungwa miezi 15

It is him again... wabunge wa CCM Arusha wavuliwa uanachama... Karamagi amchunia Zitto DIA... nitaweka hadharani picha za ngono za Kikwete... the list is endless..

Should we still bank on this Man?
 
It is him again... wabunge wa CCM Arusha wavuliwa uanachama... Karamagi amchunia Zitto DIA... nitaweka hadharani picha za ngono za Kikwete... the list is endless..

Should we still bank on this Man?

I say hell to tha NO! This is just a place where we (or I) come to just hang out and chit chat. I don't take that seriously stuff that I read here or take personally things that are said to me.
 
It is him again... wabunge wa CCM Arusha wavuliwa uanachama... Karamagi amchunia Zitto DIA... nitaweka hadharani picha za ngono za Kikwete... the list is endless..

Should we still bank on this Man?

masatu mtu mzima hatishiwi nyau, kama kweli unazo mwaya ila debe tupu haliachi kupiga kelele
 
Naibu Katibu wa chama cha wananchi (CUF) upande wa Bara Bw. Wilfred Lwakatare amehukumikwa kifungo cha miezi 15 baada ya kupatikana na hatia na makosa ya kufanya vurugu na kumtishia msimamizi wa uchaguzi... more news to come...

Now sina chama as of may 2015
 
Last edited:
Kumbe ni Uncle wako? haya mama kafungwa nje! nasikia anataka kukata rufaa aangalie tu kwenye rufaa wasije wakaamua kumfunga ndani..
 
masatu mtu mzima hatishiwi nyau, kama kweli unazo mwaya ila debe tupu haliachi kupiga kelele

Mtu wa Pwani nadhani umenielewa sivyo ndivyo! Nilichonukuu huko juu si maneno yangu bali ya one chap by the name Mwanakijiji. Having said that ushauri (hoja) yako ungeielekeza kwake...
 
Mtu wa Pwani nadhani umenielewa sivyo ndivyo! Nilichonukuu huko juu si maneno yangu bali ya one chap by the name Mwanakijiji. Having said that ushauri (hoja) yako ungeielekeza kwake...

c'mmon masatu I know you could take a punch or two for a friend... LMAO
 
Hizi habari hazina ukweli kwani hajafungwa ila kapewa onyo na mahakama. Hajafungwa nimezungumza naye kwa simu sasa hivi na anarudi Dar keshokutwa jumamosi jioni .Mjadala ufungwe kwani hakuna kitu kama hicho.

Whaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaat?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom