News alert!!!! Hatimaye mkuu wa chuo cha mkwawa iringa na wasaidizi wang'oka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

News alert!!!! Hatimaye mkuu wa chuo cha mkwawa iringa na wasaidizi wang'oka

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by bogota the king, May 11, 2012.

 1. b

  bogota the king Member

  #1
  May 11, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 56
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Habari za uhakika kabisa ni kwamba Mkuu wa chuo cha mkwawa iringa amepewa barua ya kukabidhi ofisi ifikapo Jumatatu asubuhi sambamba na wasaidizi wake 2! Na hii inatokana na tuhuma nzito za matumizi na usimamizi mbovu wa mali za chuo hiko ikiwa ni pamoja na wizi wa pesa za mikopo kwa wanafunzi kutoka LOAN Board zinazomgusa moja kwa moja mkuu huyo! Tayari PCCB imewahoji kwa kirefu watuhumiwa wote wa wizi huo! Na hii inaashiria hatua moja ya kuwafikisha mahakamani wahusika wotze!
  Source! Mtu wa ndani katika chombo cha maamuzi mkwawa.
   
 2. S

  Skype JF-Expert Member

  #2
  May 11, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 7,284
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  Wakifungwa ndipo nitaamini kua kweli wameshugulikiwa. Hawa watu siyo wema kabisa:
  1. Prof Mushi
  2. Prof Machiwa
  3. Prof Mrema
  4. Fransis Kiama
   
 3. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #3
  May 11, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Hayo majina mbona yanafanana na wapigaji wa KASKAZINI? Halafu ndo tuwape nchi???!!!!
   
 4. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #4
  May 11, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Ah,,,labda kukabidh ofis,lakin hili la TAKUKURU wala silitilii maanani,TAASIS YA KUKUZA NA KUPAMBA RUSHWA
   
 5. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #5
  May 11, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Hayo majina ya akina MEKU hayo,dah
   
 6. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #6
  May 11, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Prof halafu unaenda kusumbuliwa mahabusu,,,,dah
   
 7. S

  Skype JF-Expert Member

  #7
  May 11, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 7,284
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  Nilikua nataja tu ile top 4 ktk utawala wa mkwawa, hayo mengine siyajui mkuu mimi kitu siasa ni mgeni sana.
   
 8. S

  Skype JF-Expert Member

  #8
  May 11, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 7,284
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  Mkuu, suala la kufikishwa mbele ya sheria wala usilifikirie hata kidogo, system inawatambua.
   
 9. M

  Muarubaini JF-Expert Member

  #9
  May 11, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 223
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  cjaona mpumbavu na mbaguz kama wewe. Unafikiria kwa kutumia mk... Wako. Idiot, watu wachache ndo u generalize
   
 10. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #10
  May 11, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Uongozi wa DUCE pia umeondolewa. So yawezekana Kikwete kaamua kuwa serious na wabadhirifu wa mali za umma. Na hope atafanya hivyo hivyo kwa halmashauri zote zilizopatikana na hatia. Lakini cha kujiuliza, ni kwanini hakuanza tangu mwanzo? Anakuja kuanza leo?
   
 11. M

  Muarubaini JF-Expert Member

  #11
  May 11, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 223
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  huna akili, unafikiria kwa kutumia tigo yako. Idiot, watu wa kazkasin wanahuka vp. Watu wa chache ndo ugeneralize. Mbaguzi mkubwa we
   
 12. S

  Skype JF-Expert Member

  #12
  May 11, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 7,284
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  kazi imeanza
   
 13. b

  bogota the king Member

  #13
  May 11, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 56
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Cha ajabu zaidi ni kwamba Mke wa waziri mmoja katika wizara nyeti amepewa shavu la kuiongoza taasisi hii ya Umma! Wapigaji hawawezi kuisha hata siku moja nchi hii mpaka mawaziri waingie jela kwa kifungo cha muda mrefu!
   
 14. SIMBA WA TARANGA

  SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member

  #14
  May 11, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 992
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu, Inaitwa "TAASISI YA KUZUA NA KUPAMBA RUSHWA" This is their right name.
   
 15. S

  Skype JF-Expert Member

  #15
  May 11, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 7,284
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  Makubwa! Kumbe Prof Amandina Lihamba ni mke wa waziri? Haya nakaa kimya.
   
 16. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #16
  May 11, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Unaumwe wewe. Kina maranda ni wa kaskazini? Tabia ya mtu haijalishi kabila lake. Yawezekana hata wewe katika eneo lako ni fisadi wa kutupwa haijafika siku tu... Hao mlowakabidhi nchi kwa miaka 50 wametufikisha wapi?? Think Loud...
   
 17. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #17
  May 11, 2012
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,578
  Likes Received: 3,881
  Trophy Points: 280
  umeona eh!
   
 18. Pota

  Pota JF-Expert Member

  #18
  May 11, 2012
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 1,813
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  sidhani kama unaitwa free world, yafaa uitwe free mouth
   
 19. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #19
  May 11, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  mshawai ona mwenye hela akifungwa?hata hawa hakuna atakayefungwa-watasumbuliwa kwa muda tu then watakuwa freemen-hakuna chombo chenye guts za kuweza kudeal na watu wenye hela nchi hii
   
 20. brazilian

  brazilian JF-Expert Member

  #20
  May 11, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 607
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Amandina Lihamba kapewa ulaji? Mwe Tufwile

  Ikerege je, bado?
   
Loading...