News Alert: Cargo ships outruns pirates off Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

News Alert: Cargo ships outruns pirates off Tanzania

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Quemu, Dec 7, 2008.

 1. Quemu

  Quemu JF-Expert Member

  #1
  Dec 7, 2008
  Joined: Jun 27, 2007
  Messages: 986
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Naona hii ishu imegusa mpaka kwenye shore ya Bongo

  Souce: CNN.com
   
 2. M

  Mpanda Merikebu Senior Member

  #2
  Dec 8, 2008
  Joined: Dec 27, 2007
  Messages: 170
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  (CNN) -- A Dutch-operated container ship outran pirates off the coast of Tanzania this weekend, an official with the International Maritime Bureau said Sunday.


  French soldiers, who have joined British, Indian, Russian and American patrols off Somalia, during an exercise.

  The incident took place "very far out to sea," showing that Somali-based pirates are extending their reach further and further, Noel Choong of the IMB's Piracy Reporting Center told CNN.

  "Earlier attacks were on ships off the coast of Somalia, then off the coast of Kenya, and now this was 450 nautical miles off Dar es Salaam," he said, tracing the southward expansion of the pirates' area of operations.

  The ship, which Choong declined to name, came under attack from rocket-propelled grenades, starting a fire on board, he said. The crew was able to put out the fire and escape by increasing speed.

  The ship and crew are now out of danger, he said, following the incident at 11:42 GMT Saturday.

  Piracy has become increasingly common in the Gulf of Aden and the Indian Ocean this year. So far, pirates have attacked almost 100 vessels off Somalia's coast and successfully hijacked nearly 40, according to the center.

  Don't Miss
  Special: Piracy
  Luxury cruise ship outruns pirates
  Suspected pirates turned over to Yemen
  No way to stop us, pirate leader says
  Those hijacked vessels include an enormous oil tanker, a chemical tanker, and a ship laden with Soviet-era arms including tanks. The pirates normally hold the ships for ransom.

  A luxury cruise ship carrying more than 1,000 passengers and crew successfully outran pirates off the coast of Yemen last weekend.

  The IMB has tracked at least 11 incidents of actual or attempted piracy near the Tanzanian coast this year.

  A multinational fleet, including vessels from the U.S., NATO member states, Russia and India, has been patrolling the Indian Ocean waters near the Gulf of Aden, which connects the Red Sea and the Arabian Sea. Around 20,000 oil tankers, freighters and merchant vessels pass along the crucial shipping route each year. Watch anti-piracy vessels patrol the region. »


  In a recent interview provided to CNN, a pirate leader claimed attacks on shipping would continue as long as life in Somalia remained desperate.

  "The pirates are living between life and death," said the pirate leader, identified by only one name, Boyah. "Who can stop them? Americans and British all put together cannot do anything."


  Mheshimiwa Rais Kikwete,

  Naona sasa tumemwendekeza mbwa na anatufuata msikitini. Hawa maharamia wa kisomali ni lazima wakomeshwe. Inawezekana hii ikaonekana machoni pa wengi kuwa si tatizo letu lakini mheshimiwa Rais ni la kwetu wote wa Afrika Mashariki. Wewe kama kiongozi wa nchi kubwa katika Afrika Mashariki, kama mwenyekiti wa Umoja wa Afrika, hili jukumu halikwepeki.

  Itakumbukwa kuwa miaka michache iliyopita tulikuwa na matatizo ya wakimbizi wachache kutoka Rwanda walioingia nchini na silaha na tukawa na matatizo ya uporaji wa silaha. Hivi sasa hawa maharamia tuliwaachia huko kwao, wakaenda Kenya na sasa wako nje kidogo tu ya Dar es Salaam na Unguja. Je tusipowashughulikia sasa hivi tutawaachia wafike kisiwa cha Bongoyo?

  Sikusudii wala kunuia kukufundisha kazi. Nilichonacho ni hofu kama mwananchi na mzalendo mwenye uchungu na nchi yake. Pia, mimi ni mpanda merikebu, hivyo uharamia huu unagusa karibu na nyumbani.

  Natumaini ushirikiano wa Afrika Mashariki utatumika kuhakikisha usalama wa mipaka yetu na watumiao bahari na bandari zetu.

  Wasalaam,

  Mpanda Merikebu
   
 3. M

  Mkandara Verified User

  #3
  Dec 8, 2008
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Inawezekana sio Wasomali ni jamaa zetu wenyewe maanake jamani kumbukeni kuwa kuteka meli moja tu wanavuta kisu - kitu kama Usd Millioni 20 -, mmmmmhhhh! Very tempting kwa mlalahoi..
   
 4. Rev. Kishoka

  Rev. Kishoka JF-Expert Member

  #4
  Dec 8, 2008
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 4,470
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  Swali linakuja, je sisi tunalinda eneo letu la maji katika bahari ya hindi kwa umbali gani? ni umbali gani kutoka visiwa vya Zanzibar na Pemba ndani ya Bahari ulipo mpaka wetu kabla ya kuingia mpaka wa kimataifa?

  Je jeshi letu la majini linafanya nini kutulinda kuepushana na hawa maharamia ambao wanaweza hata kuzuia mizigo inayokuja Dar Es Salaam?
   
 5. F

  Fundi Mchundo JF-Expert Member

  #5
  Dec 8, 2008
  Joined: Nov 9, 2007
  Messages: 4,706
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 145
  Mchungaji.Wavuvi wetu wanaotumia baruti wanatusumbua itakuwa hawa wasomali!
   
 6. Sanda Matuta

  Sanda Matuta JF-Expert Member

  #6
  Dec 8, 2008
  Joined: May 9, 2007
  Messages: 950
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Napenda kutokubaliana FUNDI,

  Jeshi letu liko IMARA,wavuvi wanao tumia baruti hayo ni mazingira na ukosefu wa elimu.
  Hata akichukuliwa (MVUVI) sheria nikama kumwonea hajui alitendalo.
  Tunaweza kuwadhibiti hao maalamia wa KISOMALI
   
 7. F

  Fundi Mchundo JF-Expert Member

  #7
  Dec 8, 2008
  Joined: Nov 9, 2007
  Messages: 4,706
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 145
  Kwa hiyo unataka kusema kuwa jeshi letu linawaachie waharibu mazingira kwa sababu ya mazingira na kukosa elimu? Tangu lini kutokuwa na elimu kimekuwa ni kibali cha kuvunja sheria?

  Je hayo mameli yanayovua katika maeneo yetu? nayo tunayaachia kwa kuwaonea huruma ati hawajui walifanyalo?

  Hao maharamia wanatuchezea mpaka kwenye eneo letu la kujidai bado unasema jeshi letu liko imara? Au ukiwaona kwenye gwaride pale temeke wamevaa bugaluu ndiyo unapata matumaini kuwa tunalindwa? Hii ni wake up call kwa serikali kuwekeza na kujenga coast guard yenye uwezo wa kuzuia uovu wowote ( wavuvi wa baruti, rogue trawlers, wasomali na watakaotaka kuwaiga wale wa Mumbai) kufanyika katika bahari zetu.

  Amandla......
   
 8. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #8
  Dec 8, 2008
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Moderator hii thread si ipo pia kwenye international forum?
  Naomba uziunganishe.
   
 9. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #9
  Dec 8, 2008
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  mgaa na fukwe hali wali mkavu...naona pia ni kipindi kizuri cha "kuomba" merikebu za kisasa za kivita.
   
 10. M

  Morani75 JF-Expert Member

  #10
  Dec 8, 2008
  Joined: Mar 1, 2007
  Messages: 619
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mkuu Mchong....., message sent!!! Ha ha haaaaaa...... Yeah kama yalivyokuwa ma BMW au??

  teh teh teh........
   
 11. Kafara

  Kafara JF-Expert Member

  #11
  Dec 8, 2008
  Joined: Feb 17, 2007
  Messages: 1,392
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  mimi najiuliza,

  inakuwaje hao wanaoitwa "international community" wameshindwa
  kudhibiti huu uharamia? kuna wakati nimepata kusikia cnn watalaam
  wa usalama wa majini wakishauri kwamba hawa pirate wasishughulikiwe
  kijeshi kwani nao silaha walizonazo ni kiboko.

  aidha nimepata kusikia kwamba cnn walishawahi kuonyesha jinsi
  mji ambao pirate wanaishi unavyoshamiri kwa biashara na nadhani
  wana ka-structure fulani ka uongozi. hawa jama wanateka nyara "tanker" la
  mafuta nami najiuliza wanalificha wapi? hizi satellite japo zimeshindwa
  kumpata bin laden, lakini tanker?!! nashangaa kabisa.

  nadhani inabidi kujiuliza zaidi je hizi silaha zinazoogopwa na hawa wataalamu
  wa usalama majini zinatoka wapi? au hawa wataalamu wanafahamu kwamba
  baadhi ya meli zilizowahi kutekwa hazikuwa na mzigo uliotangazwa bali silaha?

  hizi meli nyingine zinazozagaa huko high sea je haziwezi kuwa pia zinashiriki
  katika kutupa toxic wastes na shughuli za hawa pirate zinawapiga zengwe?

  je hawa pirates hawawezi kuwa njia mojawapo ya kuwapiga stop wavuvi wa kijapani "wanaochota" samaki katika ukanda wa afrika masharika mpaka kutishia balance ya viumbe wa majini na ambao kuna wakati serikali iliwahi kuwalalamikia lakini hawaachi.

  kweli hawa pirates inabidi wakomeshwe kwani wanahatarisha usalama lakini pia inawezekana wanafanya kazi amabazo nchi ya eneo hili zimeshindwa kufanya kupitia nyanja za kidiplomasia.
   
Loading...