News Alert:balali Is No Longer??

Mtaalam

JF-Expert Member
Oct 1, 2007
1,320
1,250
yaani natamani ningeweza kuwa na jk wakati wakitoa hilo li habari la kuvunjika vunjika kuhusiana na kumfukuza kazi balali...yaani wallahi ningemzaba kibao nikamatwe na ma bodyguard wake elfu moja wasio na kazi ya maana ya kufanya!!!

this is more than serious guy kaandika barua ya kujiuzulu toka mwaka jana....eti mwaka huu ndio waja na habari eti wamfukuza kazi kwelii hata ka jamaa alikua tapeli kiasi gani lakini haingii akilini aliiba mabilioni yooote hayo kwa ajili gani??lazma alishirikiana na watu wengine!!!

hata ka wamefanikiwa kumuua basi atokee mtu anayeujua ukweli jamani japo atutumie kwa barua JF tujue ukweli wa mambo as i was waiting kweli kupata statement za Balali responding to this saga
 
Kithuku

JF-Expert Member
Nov 19, 2006
1,398
1,250
Hii nikishaiona hapa kwenye "nyepesi" naelewa ni ya kufurahishia genge, lakini pia hakuna cha kufurahisha kuhusu kifo cha binadamu mwenzetu. Kwa hiyo kama haina uthibitisho ni bora tu hii thread ikafungwa.
 
Azimio Jipya

JF-Expert Member
Nov 27, 2007
3,363
1,195
Hii nikishaiona hapa kwenye "nyepesi" naelewa ni ya kufurahishia genge, lakini pia hakuna cha kufurahisha kuhusu kifo cha binadamu mwenzetu. Kwa hiyo kama haina uthibitisho ni bora tu hii thread ikafungwa.

Sawa ni nyepesi lakini mambo mengine hayana maana!!! Hivi kweli kama hajafa alafu sisi tuko busy kudonoa cp zetu all the day long ..kweli tutaelewekaje? kufurahisha genge??? in this way????...No No. Ninavyona mimi haina maana sana!!Na isije kurudia tena mchezo kama huu!! Mungu ampe maisha marefu Mtuhumiwa wetu..tuonane naye mbele ya sheria!!!Live longer Mr Balali!!!!
 
Masanilo

Platinum Member
Oct 2, 2007
22,293
1,250
yaani natamani ningeweza kuwa na jk wakati wakitoa hilo li habari la kuvunjika vunjika kuhusiana na kumfukuza kazi balali...yaani wallahi ningemzaba kibao nikamatwe na ma bodyguard wake elfu moja wasio na kazi ya maana ya kufanya!!!

I love this!!!
 
Gembe

JF-Expert Member
Sep 25, 2007
2,503
1,225
nakusudia kuitoa hii thread pindi Balali atakapozungumza kuhusu kutuhumiwa kwake na kufuja Biilion zetu na awataje watu wote alioshirikiana nao.Naamini hawezi kukubali kutolewa sadaka.Otherwise naomba Admin uiache kwa sasa.

suala la Pili kwanini waandihi wa Habari hawakuhoji Ghaarama alizotumia Balali zimefikia Sh. Ngapi?

tunahitaji kujua.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom