News Alert: Angalia mkutano wa waandishi wa habari na Rais

Koba

JF-Expert Member
Jul 3, 2007
6,137
1,500
namwangalia hapa anavyojikanyakanyaga tuu,anaulizwa EPA badala ya kujibu anaanza kutoa historia ya EPA...ha haha haha haaa tuendelee!
 

Koba

JF-Expert Member
Jul 3, 2007
6,137
1,500
Jk bwana naona safari zimemfanya asahau kiswahili maana kiingereza sana,naona kina kalulu anawaacha wakati mwingine..hahah haha haha tunaendelea
 

Koba

JF-Expert Member
Jul 3, 2007
6,137
1,500
our fellow member John Mnyika naye sasa yupo TVT mnaweza kumwangalia
 

Masanilo

Platinum Member
Oct 2, 2007
22,297
1,250
namwangalia hapa anavyojikanyakanyaga tuu,anaulizwa EPA badala ya kujibu anaanza kutoa historia ya EPA...ha haha haha haaa tuendelee!

Merry Xmas and happy new year wanajambo forum wote, nimerudi jimboni kwangu walau kusheherekea maadhimisho ya mwaka pamoja na ndug na marafiki nchini kwangu Danganyika... nikiwa bar moja wapo hapa maeneo ya Sinza -Kumekucha JK alikuwa akiongea kwenye TZ na waandishi wa habari..kupitia TV, akipongea pumba bin upupu...jamaa waliokuwa wengi pale waliomba wabadilishiwe channel maana wanamwita mzee wa porojo huyo hatutaki hata kumwona....nakumbuka JF waliishajadili kuporomoka kwa umaarufu wa awamu ya nne nimeshuhudia kuna ukweli kwenye hilo labda watani zangu CCM kama watabisha...nategemea kwenye kijijini haswa nitaleta tathimini zangu hapa kwenye ukumbi

Ushi
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom