Newcastle United Parts Company With Sam Allardyce.

Kana-Ka-Nsungu

JF-Expert Member
Oct 4, 2007
2,257
353
Habari zinazonifikia sasa hivi kupitia Sky Sports ni kwamba Sam Allardyce amepigwa chini kwenye kibarua chake kufuati mfululizo wa matokeo mabovu ya club ya Newcastle United. Allan Shearer anatajwa kuwa miongoni mwa watu wenye nafasi kubwa sana ya kukalia kiti hicho cha moto.
 
Habari zinazonifikia sasa hivi kupitia Sky Sports ni kwamba Sam Allardyce amepigwa chini kwenye kibarua chake kufuati mfululizo wa matokeo mabovu ya club ya Newcastle United. Allan Shearer anatajwa kuwa miongoni mwa watu wenye nafasi kubwa sana ya kukalia kiti hicho cha moto.

Hii haijatulia kaka... habari zilizokufikia hahahahah kwa hiyo una break news siyo teh teh teh sifa nyingine bwana ....kazi kweli kweli...
 
Hii haijatulia kaka... habari zilizokufikia hahahahah kwa hiyo una break news siyo teh teh teh sifa nyingine bwana ....kazi kweli kweli...

Cammon man, I deserve some credit at least for breaking it hapa JF, ningekua Mr. Mithifa kama wewe ningetanguliza kwenye title neno- "Breaking News!"
 
hahaaa, funny geezers in ere!!
there are some impatient geezerers upnorf. Sasa kiti hicho akalie Mourinho ndio nitamvulia kofia.
 
hahaaa, funny geezers in ere!!
there are some impatient geezerers upnorf. Sasa kiti hicho akalie Mourinho ndio nitamvulia kofia.
Not funny Nzoka, ingekua imerushwa na MMK ungeona huyo Ushirombo ametoa Thanks. I think Newcastle need some kind of stability kwenye hiyo position ya manager, hawana subira kabisaaa hawa jamaa. Hata Fergie alipewa muda kuijenga Man U.
 
Naona Shearer kachomoa,na kwa jinsi hawa jamaa wasivyo na subira nafikiri mameneja wengi wazuri hawataitaka hii kazi kwa kuhofia kupigwa chini.....

Shearer plays down Newcastle link

Alan Shearer is extremely unlikely to be the next manager of Newcastle, sources close to the former Magpies captain have confirmed to the BBC.Shearer has been tipped to succeed Sam Allardyce but he is said to be very happy with his job on Match of the Day.
Portsmouth boss Harry Redknapp has also been linked with the job but has insisted it was pure speculation."There's nothing in my being linked with the job. I am happy on the south coast," he told the News in Portsmouth."I have not spoken to anyone from Newcastle. I really do not know anything about this." When asked by BBC Radio Solent whether he was interested in taking over at St James' Park he said it was a "hypothetical question".Regardless, Redknapp has been made the even-money favourite by several bookies.
Other names linked with the job include Martin Jol, Jose Mourinho, Jurgen Klinsmann, Marcello Lippi and former England boss Steve McClaren.

LAST SIX MAGPIES MANAGERS
Kenny Dalglish
Jan 1997-Aug 1998
Ruud Gullit
Aug 1998-Aug 1999
Sir Bobby Robson
Sep 1999-Aug 2004
Graeme Souness
Sep 2004-Feb 2006
Glenn Roeder
Feb 2006-May 2007
Sam Allardyce
May 2007-Jan 2008

 
KKN... Iwapo ungehitaji Mithifa basi posti hiyo ingeisti kule Siasa kabla ya kuondolewa na modereta na kuletwa hapa michezo.
 
Keegan returns as Newcastle boss

Newcastle have announced that Kevin Keegan has made a dramatic return to Tyneside by signing a three-and-half year contract to manage the club.

Keegan, 56, managed the Magpies from 1992 to 1997 and returns to St James' Park as Sam Allardyce's successor.

Gerard Houllier and Didier Deschamps were linked with the job in the last two days but the club turned to Keegan.

The ex-England coach was initially linked in a dual role with fans' favourite Alan Shearer as his deputy.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom