Kana-Ka-Nsungu
JF-Expert Member
- Oct 4, 2007
- 2,257
- 349
Habari zinazonifikia sasa hivi kupitia Sky Sports ni kwamba Sam Allardyce amepigwa chini kwenye kibarua chake kufuati mfululizo wa matokeo mabovu ya club ya Newcastle United. Allan Shearer anatajwa kuwa miongoni mwa watu wenye nafasi kubwa sana ya kukalia kiti hicho cha moto.