Newcastle United 0-1 Manchester City: Pep hashikiki, afikisha mechi 20 bila kupoteza

likandambwasada

JF-Expert Member
May 27, 2015
5,402
6,072
Hapo Jana man city chini ya kocha wa dunia Pep guardiola waliendeleza ubabe katika ligi kuu ya uingereza (EPL) kwa kuifurumusha Newcastle utd bao 1-0 na hivyo kuiacha Manchester utd kwa point 16.

Kwa ushindi wa jana, city imefikisha mechi 20 za ligi bila kupoteza huku ikishnda 19 na kudraw 1.

Manchester utd ambao walianza kwa mbwembwe mwanzoni mwa ligi kwa ushndi wa magoli 4 kila mechi, wamegeuka waviziaji wanaocheza kwa kujilinda huku wakiendelea kupumulia mashine kwa mbinu za kizamani za mourinho.

Kwa hali ilivyo sasa hakuna wa kumkamata pep maana amewafumua big 4 wote na kuwaachia maumivu makali.

Teamcity
54c6893147eaa9fed62ae058fb470148.jpg

bff20cc72c9c9f4096342fe5a57ee047.jpg

8a4748bd7e5efb478329417ce24bb251.jpg
 
Post ya limbuken wa mpira mwaka jana conte mbona hamkumfungulia thread aliposhinda mech 12 mfululizo? Tena kwa idad kubwa ya magoli 4 au 3
 
Nnapokuambia ligi ya uingereza bila usajili wa maana ulikuwa unakataa nn ndo mana nimekwambia kama anajua mwaka jana kabeba nini? Ligi bado ni ngumu
Sio uingereza tu ligi zote zinataka usajili huwezi kutoka na kitimu chako cha ajabu epl ukabeba njoo laliga au bundesliga
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom