Newala: Tani 9 za korosho zanaswa zikitoroshwa

chagonjam

JF-Expert Member
Aug 20, 2018
354
418
Mkuu wa wilaya ya Newala ,mkoani Mtwara ,Aziza Mangosongo, amefanya operesheni maalum na kukamata tani tisa za korosho zilizokuwa zikipitishwa kimagendo.
 
zilikuwa zinatoroshwa kutoka Msumbiji kufata soko zuri la korosho TZ. Ya JPM.
 
Sasa huu ni upuuuzi. Sijawahi sikia Uganda inakamata kahawa ya magendo inayovushwa toka Tanzania. Fikiria mtu anawaletea korosho ghafi, mnamlipa Pesa yetu Kikwete aliita madafu, halafu sisi huku wanajeshi wanaibangua baadae tunaiuza nje kwa dola, tunapata uwezo wa kumalizia malipo ya dreamliner, tatizo likowapi wakuu??? Hebu Jaribu kutorosha korosho ipeleke Rwanda uone kama utasikia Kagame amekukamata! Mtu anatuletea source of foreign currency tunamkamata!?
 
Korosho ya Msumbiji haina kiwango kama ya Tz alafu hatutatiki mizigo ya wizi na siku Rais anawaapisha Mawaziri majuzi alizungumza kuna Korosho za nchi fulani huwa zinavushwa kuingia huku kwetu eidha kwa kubadilishana na za huku sasa kasimamieni ili jambo lisijitokeze. alijua hili sasa hatupokei ulozi wa mtu.
 
Mkuu wa wilaya ya Newala ,mkoani Mtwara ,Aziza Mangosongo, amefanya operesheni maalum na kukamata tani tisa za korosho zilizokuwa zikipitishwa kimagendo.
Hiyo ndiyo kazi ya DC? Kuna viongozi wanatumia korosho kutafuta kiki
 
Korosho ya Msumbiji haina kiwango kama ya Tz alafu hatutatiki mizigo ya wizi na siku Rais anawaapisha Mawaziri majuzi alizungumza kuna Korosho za nchi fulani huwa zinavushwa kuingia huku kwetu eidha kwa kubadilishana na za huku sasa kasimamieni ili jambo lisijitokeze. alijua hili sasa hatupokei ulozi wa mtu.
Nimekuelewa!
 
Sasa huu ni upuuuzi. Sijawahi sikia Uganda inakamata kahawa ya magendo inayovushwa toka Tanzania. Fikiria mtu anawaletea korosho ghafi, mnamlipa Pesa yetu Kikwete aliita madafu, halafu sisi huku wanajeshi wanaibangua baadae tunaiuza nje kwa dola, tunapata uwezo wa kumalizia malipo ya dreamliner, tatizo likowapi wakuu??? Hebu Jaribu kutorosha korosho ipeleke Rwanda uone kama utasikia Kagame amekukamata! Mtu anatuletea source of foreign currency tunamkamata!?
ikiingia kimagendo nani anailipia kodi? Uganda ni incompetent sio lazima nasisi tue kama Uganda. Au hujui umuhimu wa kodi mzee baba? Kodi ndio inayotofautisha magendo na halali.
 
Back
Top Bottom