Newala kunani?

TEGETA KIBAONI

JF-Expert Member
Aug 12, 2012
651
141
Ndugu zangu hasa wale bobez wa sheria za bongo,wana newala cku ya jumanne tarh 11 juni 13 alfajir,wameamkia na kupigwa viboko,kudhaliliswa nk,na jwtz bila kuelewa kosa lao,hv sheria inasemaje kwa jambo kama hili,na raia anawezaje kudai haki yake?
 
There must be something wrong. Labda walishindwa kuelewana kwenye certain issues na ukizingatia hawa ndugu zetu kama is bakora basi ni ngumi mkononi. Ebu tafuta kwanza hiyo sababu. Hivi hivi haiwezekani. Wao siyo vichaa.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Nadhani serikali imeshapata kiwewe na hili suala la gesi

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Nadhani serikali imeshapata kiwewe na hili suala la gesi

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Uwa hawatafutwi hao na ukiingia kwenye anga zao hawalembi,na usisubutu kuwabeep wanakupigia.kaa nao mbali bro.
 
There must be something wrong. Labda walishindwa kuelewana kwenye certain issues na ukizingatia hawa ndugu zetu kama is bakora basi ni ngumi mkononi. Ebu tafuta kwanza hiyo sababu. Hivi hivi haiwezekani. Wao siyo vichaa.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums

Nasikia chanzo ni kisasi cha mbunge wao ambaye amekuwa
anazomewa mara kwa mara anapofikia wilayani humo kwa
sababu katika vurugu za gesi Newala ni miongoni mwa maeneo
ambayo yalikuwa tulivu lakini kwa hasira zinazofukuta hivi sasa
tusubiri tuone kama upole wa watu wa Newala utaendelea......
 
Kila kona Mkuchika amekuwa akitajwa kama chanzo cha kipigo hicho.
 
Lazima itakuwa wamepishana tu kauli,kwani jwt wao asilimia kubwa ya majukumu yao ni ambush,ukizingatia kuna sakata la gas!
 
Hata punda ukimchapa sana hbadilika na kuanza kurusha mateke...Muda si mrefu hao ndugu watabadili upole wao na hapo itakuwa MBAYAA BALAAA!!
 
Hata punda ukimchapa sana hbadilika na kuanza kurusha mateke...Muda si mrefu hao ndugu watabadili upole wao na hapo itakuwa MBAYAA BALAAA!!
Mkuu kwa discussion zinazoendelea sasa hali si nzuri kwani
nilikuwa huko jana kikazi, chuki kwa serikali imekuwa kubwa
na harufu ya kisasi inanukia nasema tusubiri...............
 
Mkuu kwa discussion zinazoendelea sasa hali si nzuri kwani
nilikuwa huko jana kikazi, chuki kwa serikali imekuwa kubwa
na harufu ya kisasi inanukia nasema tusubiri...............
Jeshi wanadhani wanatengeneza /wanawaadabisha Kumbe ndio wanaharibu/wanakoka moto...Natamani ningekuwa huko kuongeza nguvu.Balaa iwe double.
 
Uwa hawatafutwi hao na ukiingia kwenye anga zao hawalembi,na usisubutu kuwabeep wanakupigia.kaa nao mbali bro.
Sidhani kuwa wka mazingira haya serikali imefikia hatua ya kutumia jesho la ulinzi ili kuwafanya wananchi wawe katika mstari. Sizungumzii wanajeshi na weledi wao, naizungumzia serikali
 
Back
Top Bottom