TEGETA KIBAONI
JF-Expert Member
- Aug 12, 2012
- 651
- 141
Ndugu zangu hasa wale bobez wa sheria za bongo,wana newala cku ya jumanne tarh 11 juni 13 alfajir,wameamkia na kupigwa viboko,kudhaliliswa nk,na jwtz bila kuelewa kosa lao,hv sheria inasemaje kwa jambo kama hili,na raia anawezaje kudai haki yake?