SINGLE WINDOW
JF-Expert Member
- Sep 2, 2021
- 356
- 278
P. MAYALA sina cha kuongeza ila na unga mkonohoja kwa kweli wakupinga hebuwatulie tumpe mama muda anaenda vizuriWajameni, haya sasa ndio mambo haya...
Kuna vitu watu tulisema, japo tulibezwa sasa vinatokea na vinajidhihirisha.
Hapa nilisema kitu kuhusu Tanzania ya Samia compared na Tanzania ile, kiukweli kabisa, Tanzania tunakwenda kuwa na Tanzania bora, Tanzania njema na Tanzania nzuri kuliko Tanzania ile, kitu kinachohitajika sasa ni kumpa muda.Ubunge wa Bashiru Ali, wachambuzi wanasemaje? – DW – 01.04.2021
Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania alifanya mabadiliko ya kiutendaji ikiwa ni pamoja na kumuondoa aliyekuwa Katibu Mkuu kiongozi Dokta Bashiru Ali na kumteua kuwa mbunge. Je, wachambuzi wanazungumzia vipi hatua hii? Msikilize mchambuzi wa siasa za Tanzania, Pascal Mayalla akichambua kwa kina...p.dw.com
Hongera sana Mama Samia, una uwezo na unaweza kututoa hapa tulipo na kutufikisha kule tunapaswa kuwa.
P