New York, Marekani: Rais Samia ashiriki Mkutano kuhusu athari za Mabadiliko ya TabiaNchi

Ni vizuri je mkutano huu unamsaidiaje mtanzania wa hali ya chini !?
Mkutano wa UNGA na hii mingine ya pembeni yote ni " Talk show" inakusanya wauza sura kutoka Dunia nzima kuteketeza pesa za walipa kodi tu, haina tija kwa mwananchi wa kawaida.

Namuona Vasco da Gama nyuma ya pazia akitumia utandawazi ku nufaisha ukoo wa mchwa... Kazi iendelee tu!.
 
Nimekuelewa mkuu chukua soda kwa mangi ntalipa
 
Hiki ni kijiwe cha kupigia soga, marekani walishakataa kuwa mwanachama, nato wanaingia geresha tu, viongozi wa Africa wakianza kuongea wanatoka kuvuta sigara
 
‪Rais Samia Suluhu Hassan ameshiriki Mkutano kuhusu athari za Mabadiliko ya Tabia Nchi duniani ambapo amesisitiza juhudi za kupambana na janga hilo kutopuuzwa‬

‪Amesema, "Bado tunataabika na changamoto kubwa ya UVIKO19 ambayo imeangusha hali ya Uchumi na kufuta mafanikio yaliyofikiwa katika miongo kadhaa"‬

‪Amesema japokuwa wengi wengi huchukja kirahisi kupanda kwa joto kama moja ya athari za mabadiliko ya TabiaNchi, bado hali ni mbaya kwa Nchi kama Tanzania kwani husababisha athari mbaya kwa sekta zinazotegea maliasili kama Kilimo‬

View attachment 1946692

View attachment 1946691View attachment 1946697
Kiukweli Ngosha hakuwa Rais,

Kiukweli Ngosha hakuwa Rais,tulipigwa,huyu Sasa ndio Rais, anaiwakilisha Nchi kimataifa, mwaka 2030 ccm wawe makini wasije kurudia makosa kusimamisha watu ambao historia zao zimejaa utata
 
‪Rais Samia Suluhu Hassan ameshiriki Mkutano kuhusu athari za Mabadiliko ya Tabia Nchi duniani ambapo amesisitiza juhudi za kupambana na janga hilo kutopuuzwa‬

‪Amesema, "Bado tunataabika na changamoto kubwa ya UVIKO19 ambayo imeangusha hali ya Uchumi na kufuta mafanikio yaliyofikiwa katika miongo kadhaa"‬

‪Amesema japokuwa wengi wengi huchukja kirahisi kupanda kwa joto kama moja ya athari za mabadiliko ya TabiaNchi, bado hali ni mbaya kwa Nchi kama Tanzania kwani husababisha athari mbaya kwa sekta zinazotegea maliasili kama Kilimo‬

View attachment 1946692

View attachment 1946691View attachment 1946697
Kiukweli Ngosha hakuwa Rais,
‪Rais Samia Suluhu Hassan ameshiriki Mkutano kuhusu athari za Mabadiliko ya Tabia Nchi duniani ambapo amesisitiza juhudi za kupambana na janga hilo kutopuuzwa‬

‪Amesema, "Bado tunataabika na changamoto kubwa ya UVIKO19 ambayo imeangusha hali ya Uchumi na kufuta mafanikio yaliyofikiwa katika miongo kadhaa"‬

‪Amesema japokuwa wengi wengi huchukja kirahisi kupanda kwa joto kama moja ya athari za mabadiliko ya TabiaNchi, bado hali ni mbaya kwa Nchi kama Tanzania kwani husababisha athari mbaya kwa sekta zinazotegea maliasili kama Kilimo‬

View attachment 1946692

View attachment 1946691View attachment 1946697
Kiukweli Ngosha hakuwa Rais,tulipigwa,huyu Sasa ndio Rais, anaiwakilisha Nchi kimataifa, mwaka 2030 ccm wawe makini wasije kurudia makosa kusimamisha watu ambao historia zao zimejaa
Ni vizuri je mkutano huu unamsaidiaje mtanzania wa hali ya chini !?
Nyie team dikteta hamuwezi kuona jema lolote kwa Rais wasasa
 
Kiukweli Ngosha hakuwa Rais,

Kiukweli Ngosha hakuwa Rais,tulipigwa,huyu Sasa ndio Rais, anaiwakilisha Nchi kimataifa, mwaka 2030 ccm wawe makini wasije kurudia makosa kusimamisha watu ambao historia zao zimejaa

Nyie team dikteta hamuwezi kuona jema lolote kwa Rais wasasa
Mbona povu ndugu,wapi nimeongelea dikteta,jibu swali kwa faida ya jamii na sio ushabiki wa kisiasa
 
Mkutano wa UNGA na hii mingine ya pembeni yote ni " Talk show" inakusanya wauza sura kutoka Dunia nzima kuteketeza pesa za walipa kodi tu, haina tija kwa mwananchi wa kawaida.

Namuona Vasco da Gama nyuma ya pazia akitumia utandawazi ku nufaisha ukoo wa mchwa... Kazi iendelee tu!.
mungu wenu wa Chatttle halikuwa hajui lugha ndio maana alishindwa kusafiri, Acha Samia haiwakilishe Nchi kimataifa,tulisahaulika Sana chini ya uongozi wa yule kiumbe
 
We fukara usie na mbele Wala nyuma huwezi kujua faida ya hiyo safari,we tulia dada achezee bakora we upate kula hapo kwa shemeji,
Akili ndogo bila shaka wew ni mjamaica uliezamia Tz ,endeleeni kulima maboga
 
mungu wenu wa Chatttle halikuwa hajui lugha ndio maana alishindwa kusafiri, Acha Samia haiwakilishe Nchi kimataifa,tulisahaulika Sana chini ya uongozi wa yule kiumbe
Mkutano wa UNGA hauna faida yoyote kwa mwananchi yeyote Dunia nzima... Elewa kwanza hilo.
 
Mi nipigwe za uso!!? Sio nyinyi ambao mnatamani dikteta afufuke muendeleze ukanda wenu na kuteka watu,
Nchi sasa ipo kwenye mikono salama,ya watu wenye exposure
Ivi wew ni me au ke!? Una mawazo mgando sn jitafakari usijeingia mirembe
 
Back
Top Bottom