New Year ndio nimeona faida ya kufahamiana na wahuni wa mtaani

Aiseeee.. ni hatari sana. Hatari mno. Ila maisha club jamani. Ndo maana sipendagi outing za sehen kama hizo.

Kuna siku wanafunzi tukaenda. Uzuri ama ubaya wala pombe siziwezagi kwahiyo nakua sober tu nashangaa shangaa. Sasa kuna jamaa alikua na nyoka wake. Yule jamaa alikuta nimekaa naangalia pochi za wenzangu wanacheza mziki. Wengine wako counter kufata vinywaji. Alikua na nyoka wake kama watano hivi. Tukasalimiana. Nikajua ananifahamu labda. Tukawa tunapiga story. Ana american English bana naona ananichanganya akili yangu tu
Sindo akaanza ning'ang'ania anataka tuondoke? Sijui yule kaka ni anaishi usa ama maigizo na ngeli yake. Acha aanze kunivutaaa. Namwambia sikujui. Machozi almost kutoka. Kama fujo hv ikaanza. Nikaona kama wale nyoka nao wanataka lianzisha. Nikawaza wasije kuwa na silaha maana hawa ni manyoka. Jamaa haelewi anataka tuondoke wote. Ubaya hata sikumwuliza ni nani. Mbaya zaidi meza ile nalinda pochi za wenzangu. Machozi si yakanianza maana nguvu sina za kupigana. Good thing akatokea mkaka tunajuana na crew lake akaona akaja akanishika mkono. Yule kaka naye akapoa. Akameuliza are u with her akamjibu yes, she is my girl. Akawa mpole akamwambia cool man, am sorry. Jamaa akaondoka na nyoka wake. Nililiaaaaa sikuwahi kurudi tena maisha sijui 2009 ileee. Ila niliwaza kama wewe mambo ya viwembe. Maisha pa kishenz sana. Nilienda tu kwaajili ya jina
Nimecheka pole sanaa, kipindi hicho maisha club ndiyo club pendwa watu wengi walikua wanapapenda sana, kulikua na swimming pool penmbeni pale basi kinyamwezi sana, umenikumbusha mbali sana,

Dah ila pombe mbaya sana yani unaweza ukafanya jambo kwasababu ni pombe, kuna siku ingine ilitokea vurugu mule ndani nikajachukuliwa na mabaunsa nikawavimbia mabaunsa watu imeshiba kinoma lakini nilitaka nisimame nao mkono, wakanitupa kwenye ma vyungu nje kule, kuna wamasai walikua nje wakanisaidia kunipeleka kwenye tax maana nilikua hoi
 
Yaani Maisha ilikua maisha kweli. Kulikua na vurugu balaa. Basi seems huwa kuna watu wanachukuliwa kibabe kwa style jamaa alotaka nibebea. Hiyo siku haikua nzuri kwangu. Sitasahau. Madada poa ndo wanajichezesha pale njeeee
 
Wale madada poa walikua wanajifanya classic sana yani kama wametoka mbele sigara za embassy wanavuta halafu walikua wanaingia masiha club bure mabaunsa pale mlangoni walikua wanawaingiza bure kama bata enzi zile nimezila sana, nikikumbuka matukio, halafu maisha club nilikua nacheza mziki mpaka kunakaribia kukucha naenda kupanda basi namanga ostbey
 
Wale mama dada poa walikua wanajifanya classic sana yani kama wametoka mbele sigara za embassy wanavuta halafu walikua wanaingia masiha club bure mabaunsa pale mlangoni walikua wanawaingiza bure kama bata enzi zile nimezila sana, nikikumbuka matukio, halafu maisha club nilikua nacheza mziki mpaka kunakaribia kukucha naenda kupanda basi namanga ostbey

Kuna huyo rafiki yangu kwao Mbagala. Kwenye pochi lake kuna high hill na simple anavaa. Kila.kitu anacho kwa poch lake. Jion huyoo anaenda viwanja. Anatinga hills zake anatka ile saa 12 kasoro hv anaenda panda kitu cha mbagala rangi 3. Anakaa siti ya mwisho kabisa analala fofofo. Gari ikifika mwisho anageuka nalo sasa. Anaingia sijui mabafu ya mwenge pale stend enzi hizo anaoga halaf mishe mishe zinaendele
 
Habar za mwaka 2021 wadau

Twende kwenye mada nikiwa somewhere nausubiri mwaka mpya nilipata msala nadhani wengi mnajua maeneo unayoishi mtu lazima kunakuwa na vijana wahuni wanaokaa hapo mtaani, hawa watu wakikuzoea sometime ni shida wanaombaomba usipime kila akikuona iwe baa iwe njiani jiandae utasikia broo ninunulie bia moja basi ukimwambia sina pesa utasikia ninunulie sigara basi au nisaidie mia 6 yaan usiombe wakujue hawa wadau ni mwendo huo huo kila siku iendayo kwa MUNGU

Sasa kipind cha karibun nimekuwa mgumu sn siwapi hela kabisa hata 200 ya sigara siwapi sasa nikiwa nasubir mwaka mpya kuna eneo nilikwenda kiingilio ni bia kwa kuwa mm sinywi bia nakunywa GRAND MALT nikawaelezea mabaunsa wakanielewa nikapita kuna muhun mmoja niliongozana nae yy alikuwa hana ela ata ya bia huyu nilimuacha apo apo nje nikamwambia subir nakuja sikuja nikaja kumchek baadae nikakuta kashaondoka

Nikazama ndan nikakutana na wahun wa kitaa wananijua siku hz nilivokuwa mgumu kila wakiomba ofa ya bia nawatosa nawaambia sina hela mmmh jamaa wakachoka ikabid watulie kuna muhun mmoja hv huyu nafahamiana nae mda mrefu sn akaniomba mia 5 aongezee anunue bia dah nikaona isiwe kes nikampa sasa basi kipind nimetulia akapita mrembo mmoja hv nyuma yke kulikuwa na mshikaj mm nikajua hawapo wote nikamshika yule demu mkono aiseee !!!!!

Ile namsimamisha tu demu demu akakwepesha mkono kuonesha hatak duh kuchek nyuma shikaji limevimba uso mwekundu kakunja ndita km anataka kunirukia vile aisee ikabid nijichekeshe nikamwambia haaah shemej kumbe mpo na uyu dah heri ya mwaka mpya jamaa bado limekasirika likamwita yule demu wake likawa linaniladhimisha niongee nae nikamwambia mm sikujua km mpo wote nilikuwa nampa hi !!! Tu nakaongea na bra bra kibao ili kumtuliza mshikaji jamaa bado limekunja ndita linaniuliza "unadhan uyu MALAYA "

Nikamwambia hapana mm sitongoz malaya nikimchek shemej katulia kabisa mtotp kasettle huyu jamaa bado linaongea maneno ya jazba nikawa makin sasa maana nilianza kuhis lisije
Kunivaa tukazichapa pale pale kimuonekana anaonekana ana mazoez sio km nguvu za kuwekeana nae ubavu sina shida sikutaka kuguswa jamaa lenyewe macho mekundu lishabwia konyag nikawa namwelewesha haelewi lile li demu lenyewe sijui lilikuwa linataka tupigane liko pemben tu linarembua baada lije limchukie jamaa yke wasepe lipo pemben linajibedua dah nikasema ngoja nimpotezee maana sio target na hana madhara mwenye madhara ni uyu jamaa ikabid nimwombee msamaha jamaa bado halielew yaan lipo km linataka kunirukia dah

Nikiwa bado nahangaika nae muhun wangu wa kitaa alikuja fasta km mshale from no where akakaa kati kati yetu km shield na kuna mshikaji mwingine pia nae akaingilia ule ugomvi ikawa 2 shields na kuna wengine wakaja tukawa km 7 hv afu kuna watu pemben wanalichek hilo tukio km movie lile lidemu lipo pemben bado linarembua likawa linamwrlezea jamaa fulan pamoja na demu mwingine " kwan vp hapa " lile lidada " huyu kaka kataka kunishika mm mkono alijua mm sijui malaya akati mm nimekuja na mpenz wangu uyo apo "

Nikampuuza maana niliona yule dada aliona ule ugomvi unampaisha sn alijiona malakka ivo alitaman kuona ugomvi unakuwa mkubwa huku yule muhun wangu kamdhibit yule jamaa jamaa baada ya kuona kadhibitiwa akawa anataka km kupita katikati ya watu kwa nguvu ili aje anivae muhun wangu upo vzr alimdhibit vilivyo mpaka jamaa akatulia kisha akaniita tukaekana sawa yy akiwa km msuluhish gafla yy anaongea na watu wengine aisee jamaa likanivimbia tena linanishika mkono km mtuhumiwa "ww ulijua huyu MALAYA " nikamwita muhun wangu akawa anamsoundisha nikamwambia bro yameisha bwana tusameane tu mm naenda counter kuchukua vinywaji lengo langu hapo sio kuchukua vinywaj ni kumkimbia maana kuna msela mmoja aliininong'oneza hapo ondoka

Nikiwa naelekea counter gafla lile jamaa linanifuata likaja likanishika mkono km mtuhumiwa bado limekunja ndita yule muhuni wangu nae bila kupoteza mda akawa nae kafika akamwambia yule jamaa "MWACHIE KWANZA " akamtoa mkono
Lile lidenu lipo nyuma km kawaida anarembua tu

Muhun wangu akaniambia hapa cha kufanya ili haya yaishe tununulie bia mbili mbili mia na uyu jamaa nikwamwambia NO siwez kufanya UFALA huo yaan ni bora nikununulie ww lkn sio hili jamaa demu wake mwenyewe kavaa kihasara hasara saiz saa 5 usiku upo apa baa mm ntajuaje uyu demu uyu malaya akaniambia basi malizana nae mwenyewe nikamwambia nenda kawaite SECURITY

Haya maneno yote tuliongea kwa kunong'onezana jamaa hakujua kitu gafla likaja bado limeniganda nikimwangalia mikononi kashakunja ngumi duh muhun wangu kaja kat tena nikaona hii chance sipotez nikakinbilia kwa mabaunsa nikawaelezea sek 4 nying jamaa huyo nikawaonesha jamaa mwenyewe huyo apo mabaunsa wakamdhibit

Yule nuhun wangu akaja akaniambia twende ndan achana nae uyo mchumba tu nikamuuliza utaweza kupigana nae akaniambia uyu mchumba tu akapiga ngumi mbili ukutan km TEST au MKWARA

Nikamwambia akikuponyoka atanivaa akaniambia hawez nipo mm tukazunguka mlango mwingine ili jamaa tumpotezee aisee kumbe jamaa linatutafuta bado ile tunaingia tu mlango wa pili huyo nae kafika nikaona sasa hii hatat nikamwambia baunsa niliemkuta pale mlangon uyo jamaa analeta fujo bahat nzur kumbe yule mubun wangu na uyo baunsa wanajuana apa waLimdhibit vilivyo hakufurukuta

Kisha akaniita mm tukaekana sawa akaondoka na demu lake nikawanunulua bia moja moja yule baunsa na yule nuhun wangu nikasepa
Jitahidi uwe unashutua kidogo kidogo map shaup kidogo gonga gym la kishikaji ili upate stamina kiaina
 
Kuna huyo rafiki yangu kwao Mbagala. Kwenye pochi lake kuna high hill na simple anavaa. Kila.kitu anacho kwa poch lake. Jion huyoo anaenda viwanja. Anatinga hills zake anatka ile saa 12 kasoro hv anaenda panda kitu cha mbagala rangi 3. Anakaa siti ya mwisho kabisa analala fofofo. Gari ikifika mwisho anageuka nalo sasa. Anaingia sijui mabafu ya mwenge pale stend enzi hizo anaoga halaf mishe mishe zinaendele

Ahhhh nimecheka kinoma, dah wewe umenikumbusha matukio hayo hayo niliyopitia, kuna siku umenikumbusha nimetoka zangu kula mziki pale kona bar, kipindi hicho pia kona bar na ambiance sasa nimekula burudani weee enzi hizo nakaa sinza vatikank pale basi dah hahahhahahaha basi nimechukua Costa linaloenda gogolamboto linaanzia kona bar pale nimepanda hivi nimelala hahahahha nimestuka hivi nipo ilala hahaha ikabidi nishuke nitafute la kurudia asubuhiiii watu wanaenda kanisani jumapili hiyo niko na hangover kinoma noma dah stori ya rafiki yako imenikumbusha yangu kitambo sana hiyo,
 
Dah rafiki yako atakua alikua mla bata kinoma
 
Mna nini watu? Umenifurahisha sana. Yaan hayo mateso yoote hayo jamani
Wee.. alikua anapenda bata balaa. Alivyo mwembamba sasa... halaf anapiga safari. Nammiss sana aisee. Itabidi nimchek. Me sikua mtu wa baaataa kwa kweli
Labda mziki nisikilizeeee. Billz ndo nimepaenjoy. Na wajinga walokua wanatuzingua ni hao maafwandweee hao wanaolinda linda majengo ya benk tukirudi zetu chuo. Wapuuz kweli majamaa. Yale mabunduki yao ndo walikua wanatishia tishia watu ovyo. Ila jamani mtu kunionea sipendi na uoga wote unaondokagaaa. Eti wewe hapo kuja hapa.. kwa command. Ikabidi niulize kama nimetaka kupora hela za bank wale wengine nikawajaza hakuna kuogopa tukaze tukaze.. nikamwongezea wala sina hela wala akaunt hiyo benk bana hatuji huko sisi nia na dhumuni letu ni kurudi chuo yaan nahisi labda kuna ambao hata waaonewa aisee hata kubakwa usikute
 
Broh ukiwa viwanja punguza kuvamia kuna watu wakishalewa wanawaza ugomvi tu

Jifunze ngumi hata kidogo mkuu unyonge mda mwingine utakutia aibu pia penda kutoka na company
 
Upo umuhimu wa kuwa na selfdefense, dunia nzito hii na wakat mwingine ni uwanja wa papa na chatu,wakati mwingine ni vzuri kuwa mtulivu tu usiparamie kila kitu...........uyo mbavu ingekuwa mahali Fulani na nyakati fulani kashavunjwa kiuno zamani tu...
 
Mara zote jitahidi epuka ugomvi ama vurugu kadiri uwezavyo na ikiwa utalazimishwa hakikisha mgomvi ikiwezekana akalazwe japo wiki,, muda ule wa kuepuka ugomvi ndo muda wapanga mashambulizi na kumsoma mpinzani mwache apige kelele akivuka mstari mfunze
Ushauri, mfano umemkwaa mtu kakuomba radhi, unaanza vimba. wamvunjia heshima, wajaribu hata mrudi, my friend wajifutia balaa unyenyekevu si uoga
 
Back
Top Bottom