New University to Be Opened Next Month ''Josiah Kibira University (JoKUCo)''

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,573
Bukoba — THE opening of the Josiah Kibira University (JoKUCo) which was expected to take place in October, last year, will now be officially opened next month, it has been disclosed.

JoKUCo Deputy Vice- Chancellor, Dr Abednego Keshomshahara told that among the reasons which contributed to the postponement of the opening was late inspection by the Tanzania Commission for Universities (TCU).

"We have received certificate of inspection from TCU after a delegation of senior officials from TCU visited Bukoba in April, last year and compiled a report which was endorsed by TCU in July, this year. He elaborated that JoKUCO would start as Kagera Centre of the Tumaini Makumira University, until when registration processes will be completed.
Dr Keshomshahara said the Kagera Centre will start offering three degree programmes, namely B.A. with Education (BA Educ), BA Educ. and Diploma in Information Technology. He said that JokUCo was in final preparations, adding that all necessary logistics had been put in place, including acquisition of infrastructure, lecturers and 170 computers, he said.

He said arrangements to transfer a Teachers' College situated at Nyakato in Bukoba Municipality to Ruhija in Bukoba Rural district had also been finalized. The Evangelical Lutheran Church of Tanzania of the North-West Diocese (ELCT-NWD) has converted Nyakato Teachers' College into a wing of Tumaini University.
The university will be named Josiah Kibira University College (JoKUCo) in honour of the first black African Bishop of the North- Western diocese of the ELCTNWD, who served the diocese from 1964 to 1987. Bishop Josiah Kibira was the first African and Tanzanian to be elected President of the World Federation of Churches (WFC) from 1972 to 1982. Josiah Kibira was also a teacher and first deputy headmaster of the diocese's first secondary school, Nyakato, under a Swedish missionary earlier in the 1950s.
 
Attachments

  • Josiah-Kibira-University.jpg
    Josiah-Kibira-University.jpg
    13.2 KB · Views: 131
  • josia 2.png
    josia 2.png
    79.8 KB · Views: 186
  • josian Computer-Room.jpg
    josian Computer-Room.jpg
    25.4 KB · Views: 133
  • josOne-of-the-Hostels-at-JoKUCo.jpg
    josOne-of-the-Hostels-at-JoKUCo.jpg
    17.3 KB · Views: 195
hongera Jakaya Mrisho Kikwete, yet another university to opened

hihiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Mbona sioni waislamu wafungue vyuo vyao?Au wanasubiri kulalamika kwamba wanaonewa?Au bado wanachoma bendera za marekani?Au ndalichako anabana msifungue vyuo....Tehe heee!!Ponda oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!Takbiiiirrrr
 
Good move. Wabarikiwe wote waliochangia kwa hali na mali. Zaidi, waliosimamia kwa uaminifu to the end
 
Mbona sioni waislamu wafungue vyuo vyao?Au wanasubiri kulalamika kwamba wanaonewa?Au bado wanachoma bendera za marekani?Au ndalichako anabana msifungue vyuo....Tehe heee!!Ponda oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!Takbiiiirrrr

Inatabiriwa kwamba Sheikh Ponda Salafism University (SPSU) itafunguliwa soon Ujiji
 
Mbona sioni waislamu wafungue vyuo vyao?Au wanasubiri kulalamika kwamba wanaonewa?Au bado wanachoma bendera za marekani?Au ndalichako anabana msifungue vyuo....Tehe heee!!Ponda oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!Takbiiiirrrr

Hii ni kuwaonea kwa nini mnafungua vyuo wao hawafungui. ELIMU AHERA KWANZA!!!!!! This is our MOTTO
 
C jambo zur kuwaongelea wenzetu maana kila din inakipaumbele kwenye mambo inayo yaona kuwa ya muhimu kwa waamin wake.

Uko sahihi kabisa. Priorities differ a lot. Nimesema hapo juu, kuna ambao priority ni KUONA UFALME WA ALLAH, wengine wana-combine vyote. Lakini kushauriana kupo, kupeana mawazo ni vema, tusije kumlaumu Ndalichako, ni hilo tu wala sio kuwasemea.
 
Mbona sioni waislamu wafungue vyuo vyao?Au wanasubiri kulalamika kwamba wanaonewa?Au bado wanachoma bendera za marekani?Au ndalichako anabana msifungue vyuo....Tehe heee!!Ponda oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!Takbiiiirrrr
.Waarabu wanatuharibia sana waislamu ndugu zangu wa tanzania,manake hii ni aina nyingine ya ukoloni tena.wanakuwa hawatawaliki kama zilivyo nchi za kiarabu zilivyo,ona UAMUSHO,PONDA,TISHIO LA KUMUUA MUFTI,MAHAKAMA YA KADHI,ni vurugu tupu.Wenzetu wakiristo wanasonga mbele na elimu.na hii elimu ndiyo iliyowakomboa wenzetu na sio kulalamika.
 
Nasikia Muslim University hawataki kujiunga na TCU kwa sababu hawataki kupelekewa MAKAFIR wakasome kwenye chuo chao,kaaaaaaaaaaaaaaaaazi kweli kweli!
 
Nawapongeza sana kwa kuongeza idadi ya vyuo vikuu Tanzania. Ila nawashauri wakiongoze vizuri bila ubaguzi wa dini (wanafunzi, wahadhiri na wafanyakazi wengine), uwepo usawa kati kudairi na kuajiri na kila mmoja awe na uhuru wa kuabudu, mfano mzuri ni SAUT Mwanza, kuna hadi msikiti kwenye campus ya Malimbe
 
Mbona sioni waislamu wafungue vyuo vyao?Au wanasubiri kulalamika kwamba wanaonewa?Au bado wanachoma bendera za marekani?Au ndalichako anabana msifungue vyuo....Tehe heee!!Ponda oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!Takbiiiirrrr

Hivi hujui kuwa Waislaam wanaanza kusoma vyuoni kabla hawajaanza shule? unaskitisha sana kama hulijui hilo.
 
Back
Top Bottom