New tshrts in town....1961 giza totoro.

Ibrahim K. Chiki

JF-Expert Member
Apr 5, 2011
594
163
Wana jf. nna tshrt nauza zimechapishwa chata la plate number ya tz iliyoandikwa TZ1961- na GIZA TOTORO kwa chini kidogo. kwa yeyote atakaehitaji please feel free to ukweli mbaya....maalum 4 50yrs ya uhuru.
 
&lt;br /&gt;<br />
&lt;br /&gt;<br />
weka hilo chata tulione km la ukwel, tufanye mabuzinec.
 
i think ni kuliabisha taifa
kwani hilo giza ni sri? kama ni aibu mbona ni wazi kabisa! sio giza tu, yako mambo kibao tu sema wbongo ni kama tumelishwa limbwata ndo maana tunawaacha wanakula mchana kweupe bila hata kuwasota kidole
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom