new thread

Bishanga

JF-Expert Member
Jun 29, 2008
15,323
10,050
Lizzy,MJ1,Ashadii,Husniyo,Aspirin,Pdiddy,Woman of substance,AD,SL,BB,Dena ,Nyamayao,King'asti,DC na vingunge wengine wa mmu embu rusheni nyuzi mpya hapa mmu,acheni uvivu bana!!!!!.
ps: niko standby kwenye keyboard nasubiri ku post comments zangu.
 
Tayari umesharusha. Hii pia ni mpya.
Tuendelee nayo.
 
Tayari umesharusha. Hii pia ni mpya.
Tuendelee nayo.

Mkeshaji,hawa watu sijui wamekesha wapi,labda masai club kwenye mbadembade khanga moja laki si pesa......wambie waamke bana! ukiwaona wambie nimewanunia na ninalog off,ngoja niwahi uwanja wa fisi kongoro karibu zinaisha.
 
Lizzy,MJ1,Ashadii,Husniyo,Aspirin,Pdiddy,Woman of substance,AD,SL,BB,Dena ,Nyamayao,King'asti,DC na vingunge wengine wa mmu embu rusheni nyuzi mpya hapa mmu,acheni uvivu bana!!!!!.
ps: niko standby kwenye keyboard nasubiri ku post comments zangu.
Kwahiyo nitoke hapa kaunta ya juu nije nirushe uzi wa "nilikuwa wapi muda wote huu" Omba kibali kwa meneja wa Tusker Malt.
 
Lizzy,MJ1,Ashadii,Husniyo,Aspirin,Pdiddy,Woman of substance,AD,SL,BB,Dena ,Nyamayao,King'asti,DC na vingunge wengine wa mmu embu rusheni nyuzi mpya hapa mmu,acheni uvivu bana!!!!!.
ps: niko standby kwenye keyboard nasubiri ku post comments zangu.

Kanuni mpya ya MMU inawabana, inawezekana wamesharusha lakini Mods wana sensor.
 
Mkeshaji,hawa watu sijui wamekesha wapi,labda masai club kwenye mbadembade khanga moja laki si pesa......wambie waamke bana! ukiwaona wambie nimewanunia na ninalog off,ngoja niwahi uwanja wa fisi kongoro karibu zinaisha.

Usilogio off mkuu.
Si unaona new thread inavyotembea.
Na mmoja wa hao uliowataja tayari nishamuona humu.
Huenda wengine nao wanachungulia.
 
Lizzy,MJ1,Ashadii,Husniyo,Aspirin,Pdiddy,Woman of substance,AD,SL,BB,Dena ,Nyamayao,King'asti,DC na vingunge wengine wa mmu embu rusheni nyuzi mpya hapa mmu,acheni uvivu bana!!!!!.
ps: niko standby kwenye keyboard nasubiri ku post comments zangu.

twende sasa nshaongea na MD wa bruwariz
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom