New thinker jamvini

NewDawnTz

JF-Expert Member
Nov 15, 2010
1,667
362
Kwa muda mrefu nimekuwa mtumiaji wa blog mbalimbali na sikuwahi kuwaza kuwa mwanachama popote. Rafiki yangu mmoja aliponiambia kama nataka mawazo mbadala na yenye tija (kwa kuwa ni anafahamu kuwa ni mpenda mawazo mbadala na mwenye shauku ya mabadiliko) akanishauri kutembelea JF. Kwa muda nimeisoma na sasa nimeona ni vema kujiunga na kuwa mwanachama kamili na mwadilifu. HODI JAMVINI KWA GREAT THINKERS :happy:
 
karibu sana mgeni...jisikie upo nyumbani....mimi naitwa Preta.......utatumia kinywaji gani?
 
Juice ya ndimu tafadhali.......thanks brigita kwa kuwa member wa kwanza JF kunikaribisha. i have been reading a lot about you na ahsante kunikaribisha.
 
dah... huyu kuku wa mwaka huu anatotoa vifanranga vimeshakomaa??? wallahi
 
Kwa muda mrefu nimekuwa mtumiaji wa blog mbalimbali na sikuwahi kuwaza kuwa mwanachama popote. Rafiki yangu mmoja aliponiambia kama nataka mawazo mbadala na yenye tija (kwa kuwa ni anafahamu kuwa ni mpenda mawazo mbadala na mwenye shauku ya mabadiliko) akanishauri kutembelea JF. Kwa muda nimeisoma na sasa nimeona ni vema kujiunga na kuwa mwanachama kamili na mwadilifu. HODI JAMVINI KWA GREAT THINKERS :happy:
Jinsia tafadhari...........
 
Back
Top Bottom