New Tanzania PAYE and Pension Salary Excel Calculator 2013 – 2014

mwambojoke

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
1,060
628
The concept of PAYE is based on 6 levels as following:

Level 1
Pension amount equal to 10% of the gross salary is not taxable
Hence
Taxable salary = Gross Salary – Pension amount

Level 2

Taxable salary that is equal or less than TZS. 170,000/= is not chargeable

Level 3

Taxable salary Between TZS. 170,000/= and TZS. 360,000/= is charged 14%

Level 4

Taxable salary Between TZS. 360,000/= and TZS. 540,000/= is charged 20% Plus tax from Level 3

Level 5

Taxable salary Between TZS. 540,000/= and TZS. 720,000/= is charged 25% Plus tax from Level 4

Level 6

Taxable salary above TZS. 720,000/= is charged 30% Plus tax from Level 5

Download hii excel calculator hapa

http://www.kivuyo.com/?file_id=24

Based on this concept
A staff whose gross salary is TZS 1,000,000/= (One million Tanzanian Shillings) as an example is taxed as follows:

ngoja nidownload nione maana huwa naona jamaa wanakwangua tu salio langu.... hawa TRA wakuda sana aisee yani mtu unakuta pension fund unayochangia ni ndogo kuliko unayokwanguliwa na TRA... pumbafu sana hawa jamaa
 
Mh, kumbe mambo ndo yalivyo,nasikiaga tu watu wana lalamika kwamba makato makubwa...............
 
ngoja nidownload nione maana huwa naona jamaa wanakwangua tu salio langu.... hawa TRA wakuda sana aisee yani mtu unakuta pension fund unayochangia ni ndogo kuliko unayokwanguliwa na TRA... pumbafu sana hawa jamaa

Download uone mwenyewe
 
Ungetumia...... IF function, mfano kwa kutumia rate za zamani

=IF(E4>540000,(((E4-540000)*30%)+96000),IF(E4>360000,(((E4-360000)*25%)+51000),IF(E4>180000,(((E4-180000)*20%)+15000),IF(E4>80000,((E4-80000)*15%),0))))
 
Ninakamuliwa kodi kubwa sana hadi inaniuma! Halafu nenda dukani unapigwa kodi nyingine tena, kama hiyo haitoshi huduma za kijamii ndio kama hivyo zilivyo. Kila kona ni maumivu!
 
Ninakamuliwa kodi kubwa sana hadi inaniuma! Halafu nenda dukani unapigwa kodi nyingine tena, kama hiyo haitoshi huduma za kijamii ndio kama hivyo zilivyo. Kila kona ni maumivu!

Hapo ndo uone wabunge walivo wajanja. Wamejiwekea kamshahara kadogo, halafu kinachobaki eti posho ili kisikutane na PAYE.
 
Ungetumia...... IF function, mfano kwa kutumia rate za zamani

=IF(E4>540000,(((E4-540000)*30%)+96000),IF(E4>360000,(((E4-360000)*25%)+51000),IF(E4>180000,(((E4-180000)*20%)+15000),IF(E4>80000,((E4-80000)*15%),0))))
Karibu
 
Kuna mwenye rate mpya iliyo katika formula hii hapa juu??
 
Link ya hii calculator mpya hii hapa na kwa wale wenye masuala mnaweza kuniuliza maana nilitengeneza mwenyewe hiyo calculator
New Tanzania PAYE and Pension Salary Excel Calculator 2013 2014 - JamiiForums
Mfano wa mshahara wa 1,500,000 hii hapa
Tanzania-PAYE-and-Pension-Salary-Calculation-Sample-2016-17.png
 
Back
Top Bottom