ynyend1
Member
- Nov 19, 2012
- 73
- 13
Kwa wadau ambao mnasoma accounting and finance courses!! je mmeona syllabus mpya ya CPA to come into force from November 2013?? Hope it will make the profession more international, me kwa kweli nimeifurahia sana...Pia nimeona walio-review syllabus ya board ya NBAA, wamesema kwamba wanataka pia syllabus za vyuon zibadilike especially for the accounting and finance courses so as to adhere to the new NBAA syllabus in order to get some exemptions! kwa hiyo vijana ambao bado mko vyuon mjizatiti ki-kwelikweli maana the syllabus is more internationally; but be happy that you are going to learn more international things in the new syllabus, Challenge inabakia kwa walimu; Je wamejiandaa vipi na hii NEW NBAA SYLLABUS?? wasiwamezeshe sumu wanafunzi!!!