New sports lounge in dar-es-salaam.....tujuzane

Mar 13, 2012
52
12
Jamani kwa wale wenzangu wa EPL,LAL LIGA, CHAMPIONS LEAGUE NA EUROPEAN FOOTBALL kwa ujumla, nimesikia kuna sports lounge ya kisasa imefunguliwa maeneo ya Posta Mpya..mwenye details kamili atajuze....haya mambo ya kuangalia kwenye vibanda nimechoka...
 
Ipo kwenye sanamu la mwanajeshi kuna tetesi inamilikiwa na ridhwan kikwete
 
Ipo Masaki kaka..inaitwa Heineken House...ukiingia humo ni Heineken tu nasi kinywaji tofauti na hicho.
 
Back
Top Bottom