New Song: TANESCO na Kamati; Hapo vipi wakuu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

New Song: TANESCO na Kamati; Hapo vipi wakuu?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Invisible, Mar 14, 2009.

 1. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #1
  Mar 14, 2009
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,090
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG][​IMG]
  [​IMG]

  INAENDELEA....

  But as an attachment! Only Registered members will have access for remaining 50 pages.
   

  Attached Files:

  Last edited by a moderator: Mar 14, 2009
 2. bm21

  bm21 JF-Expert Member

  #2
  Mar 14, 2009
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 774
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Ok lets go through before we come to that
   
 3. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #3
  Mar 14, 2009
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mkuu invisible this is great......... Naendelea kusoma nimefika hii ehemu imenichekesha sana

  Mwenyekiti: Dowans ndio Richmond

  Dr Idris: Ndiyo mwenyekiti ndio hao hao!!
  Sounds fun eeh!!!!!!!!!

  Enyways naendelea!!!!!!!!!!!!

  Wait a minute when were the Greece olympic games?????????

  Halafu " How do you use USD 300m intended for Tanesco restructuring and improvements kulipia madeni?" Huyu Idris ana akili sawasawa kweli??????
   
 4. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #4
  Mar 14, 2009
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Kumbe tulikuwa right kwa kuwa na wasiwasi na mkaguzi wa mitambo ya Dowans

  "TransCanada Turbines (TCT), the Independent Alternative, is licensed by both General Electric and Rolls-Royce to provide global overhaul, repair and maintenance service for aero derivative industrial gas turbines. TCT's range of product and service offerings includes overhaul & repair services, maintenance services, parts sales and field service, all available anywhere in the world.

  Incorporated in 1998, TCT's experienced and dedicated technicians listen and respond to its customers, enabling TCT to provide flexible and exceptional service every time: no surprises and no excuses"


  Huyu si mkaguzi kama vile profile yake inavyoelezea hapo juu........

  Well hata Dr. Idris anakiri na kwamba wao waliappoint kampuni Lames international kufanya ukaguzi!!!!!

  Kastori katamu, tunaendelea!!!!!!
   
 5. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #5
  Mar 14, 2009
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Du kumbe hawa Lames international ahawana hata website? Kumbe Tanesco wameanza kuibiwa long time eeh??? Maana kuna kila dalili hawa jamaa ni matapeli. Dr. Idris anakiri kwamba wamekuwa wakiisaidia Tanesco mara kibao.

  Halafu kumbe kwa maelezo ya Dr. Idris walikuwa watathmini sana sana bei ya mitambo ile na si ubora. Idris unatufanya watanzania chickens eehh????????!!!!

  Lakini je kama tulivyokuwa tukiuliza huko mwanzo huyu Lames international ni approved inspector wa mitambo ya GE (Mitambo ya Dowans) na Pratt & Whitney (mitambo ya Richmond)

  Tunaendelea!!!!!!!!
   
 6. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #6
  Mar 14, 2009
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Wow! hayo maelezo ya Lames international - The centroid of justfying ununuzi wa miambo ya Dowans (Si walikagua wakasema ni mipya?????) hayajaandikwa popote kwenye presantation ya Idris. Sasa huu kama si utani ni nini?

  Wizi mtupu!
   
 7. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #7
  Mar 14, 2009
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Pg no 25 inaonyesha kabisa kwamba haka kajamaa Serukamba kalikuwa kameingia ndani ya mkutano huo kwa nnia moja tu. Tanesco inunue Dowans.
   
 8. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #8
  Mar 14, 2009
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Halafu nao wabunge wetu wanadissapoint kweli wanauliza maswali kama vile ndani ya kamati wanawakilisha interest za majimbo yao wakati hapo ni national interest.

  Kazi bado ipo!
   
 9. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #9
  Mar 14, 2009
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Na mwandishi wa ripoti hii ni msukuma nini anaonekana tatizo la kuchanganya "L" na "R" ni kubwa mno kwake!!!!!!! lol.....
   
 10. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #10
  Mar 14, 2009
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Eeh! makubwaaaaaaaa!!!!!!! Swali tena kuhusu mkaguzi. Huyu jamaa wa Tanesco, Mhaiki anaiita sasa hiyo kampuni ya ukaguzi "Lamai international" (Pg 40) Lakini ukigugo inaonekana hiyo ni hotel huko Thailand............

  Hii kampuni si changa la macho kweli????
   
 11. Companero

  Companero Platinum Member

  #11
  Mar 14, 2009
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,474
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Invisible mbona faili liko damaged, halifunguki - linatoa error?
   
 12. NgomaNzito

  NgomaNzito JF-Expert Member

  #12
  Mar 14, 2009
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 561
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Linafunguka vizuri Open kwanza then save
  Thank Invisible for u r hard work
  Wataumbuka tu time will tell
   
 13. Companero

  Companero Platinum Member

  #13
  Mar 14, 2009
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,474
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Hata hiyo inagoma. Naomba uliweke upya. Labda litakubali kufunguka.
   
 14. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #14
  Mar 14, 2009
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,090
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Mkuu Nyambala,

  Katika members ambao nimegundua wamekuwa makini na kilichoandikwa humu mmojawapo ni wewe. Umechukua muda kupitia ili kutenda haki kwa pande zote.

  Niliposoma hiyo sehemu mwenyewe nilicheka sana... That made my w/end off course!

  Kuhusu Serukamba sijamwelewa kabisa mpaka mwisho wa doc hii.

  I see, haya mambo magumu kueleza... Nimefurahi kuwa ulipata muda wa ku-google na kupata data za "Lamai International", ni wachache wanaopoteza muda kufuatilia kila kitu.

  Once done, come back with more comments mkuu wangu.

  Tupo ukurasa mmoja mkuu wangu.

  Mkuu Companero, nadhani angalia possibility ya kuirekebisha PDF reader yako... Doc iko OK kabisa
   
 15. Makaayamawe

  Makaayamawe JF-Expert Member

  #15
  Mar 15, 2009
  Joined: Feb 21, 2009
  Messages: 341
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mara ya mwisho Mh. Zitto kuchangia la maana kwenye sakata la DOWANS ilikuwa ni siku 10 zilizopita na alitoa msemo ambao nafikiri anahitajika yeye mwenyewe kuufanyia kazi. Alisema,

  Sasa kama anajua wazi kuwa Watanzania hawawaamini viongozi wao, na baada ya Dowans kudhihirika kuwa sio tu kuwa walikuwa wanataka kuibambikizia serikali deni lao na mitambo mitumba, bali pia hawajulikani kama wapo TZ au ni kivuli tu, Je Zitto haoni haja ya kurudi JF na kujieleza zaidi ili usemi wake hapo juu usije ukatumiwa kwake yeye binafsi?

  1. Je Mh. Zitto ulikuwa kipofu au na wewe ni mmoja wa hao viongozi wala rushwa?
  2. Kwa nini usije kujitetea humu JF kulingana na uliyoyasema vs imani za Watanzania kwa viongozi wao, ingali wewe ukiwa mmoja wa hao viongozi aliyeboronga hivi karibuni?
  3. Unasemaje kati ya hii misemo ni upi unawakilisha matendo yako?
   • "Mgema akisifiwa tembo hulitia maji", au
   • "Kikulacho ki-nguoni mwako" au
   • "Kila mtu hula kilichokaribu yake"
   
  Last edited by a moderator: Mar 15, 2009
 16. Makaayamawe

  Makaayamawe JF-Expert Member

  #16
  Mar 15, 2009
  Joined: Feb 21, 2009
  Messages: 341
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Kama ni mvivu wa kusoma angalau soma pages 18-19 za hiyo atachment ujionee tunavyopalilia rushwa kiwaziwazi. Tanesco wanajua kuwa Richmond na Dowans ndio hao hao lakini wanatupigisha chenga.


  Hivi wanamdanganya nani hapa? Mkurugenzi wa Tanesco hajui kama Richmond na Dowans ni kampuni mbili tofauti?

  Hii kamati ni very incompetent na pia nafikiri posho walizolipwa na Tanesco zilishawalemaza, maana bila ya hivyo haya maelezo yangetakiwa yazue maswali kibao.
   
 17. M

  MiratKad JF-Expert Member

  #17
  Mar 15, 2009
  Joined: May 2, 2008
  Messages: 294
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Contradition na taarifa za siku za karibuni kwamba Serikali haita-ingilia Tanesco kama watataka kununua mitambo ya Dowans.

  Tanesco wanasema hawana Hela (Pg.14). Na wanapendekeza Serikali wananunue mitambo ya Dowans (pg.17). Who would buy it?

  Funny. (Pg.38) Mollel, anasema watu wanakwepa kudili na Dowans kutokana na Political sensitivity juu ya Dowans, Richmond na MIHELA ambayo watu wanakula na imetajwa magazetini. Na wanasheria waTanesco wanakaa, hawafanyi lolote wanasubiri tu.

  Wanasubiri nini? Hadi Yesu akirudi. Ndiyo maana nchi haiendi mbele, wenye kutoa maamuzi, watendaji wote wazugaji tu!!!
   
 18. A

  Audax JF-Expert Member

  #18
  Mar 15, 2009
  Joined: Mar 4, 2009
  Messages: 444
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  tuombe mssada wa masia,hali ni mbaya.
   
 19. Companero

  Companero Platinum Member

  #19
  Mar 15, 2009
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,474
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Mkuu asante kwa ushauri. Nimejaribu kila niwezalo mpaka nimeweka Adobe Reader upya ila wapi. Mbona vingine vinafunguka kasoro hii? Naomba umtume inzi anitumie moja kwa moja kwenye barua pepe yangu. Naihitaji sana hii!
   
 20. M

  MiratKad JF-Expert Member

  #20
  Mar 15, 2009
  Joined: May 2, 2008
  Messages: 294
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Umeshajaribu ku-download kwanza (Save)?
   
Loading...