Video Mpya ya kwao Rostam (Roma & Stamina) Ft. Maua Sama , Wimbo Unaitwa " Kibamia (KIBA_100) "

Luvanga1

JF-Expert Member
Jun 5, 2014
2,025
1,700
brand new audio kutoka kwa rostam (roma na stamina.. KIBAMIA

Angalia mwishoni mwa video...
 

Attachments

  • Rostam (Roma & Stamina) Ft. Maua Sama - Kibamia (KIBA_100).mp3
    4.5 MB · Views: 536
Ngoma mpya ya ROSTAM au Roma na stamina waliyomshirikisha maua sama iliyotoka hivi punde inayokwenda kwa jina la kiba 100 kwangu na moja kati ya ngoma kali,vilevile dk shika akapewa shavu auze sura inaonekana ujasiri wake leo hii umempa uhakika wa kula sasa
 
Itupuie hapa na sisi tumshuhudie daktari anavyozidi kupaa.

Ila zile bilioni ni changa la macho
 
Sasa ndio apige hizo dili na akajenge, aachane na alinacha zake za mabilioni ya Urusi.
 
Duh hii ngoma kaliii plus ubunifu wa kwenye kichupa ndio wameuakabisa
[HASHTAG]#900itapendeza[/HASHTAG]
 
Wimbo umejaa matusi huu. Haufai kusikiliza mbele ya watu waliokupika rika au umewazidi rika maana utaonekana huna adabu.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom